Ligi Kuu Bara: Simba 2-2 KMC FC - Uwanja wa Mkapa, Sept 07 2022

Daaah hii timu itakuja kutoa watu roho kwakweli, daaah hapana viongozi wanatakiwa kujitafakari ase , wachezaji wanatakiwa pia kujitafakari, yaani wasenge wanalipwa mishahara tunaumia sisi ambao hata mia hatupati
 
Aden Lage aliyekua mwenyekit wa Makolo ktk moja ya mkutano mkuu wa wanachama wa Makolo, aliwaita makolo ni "MAMBUMBUMBU" hivi nyie makolo na upumbav wenu huo mkikutana na Azam na mkikutana na Singida ya Mr Tozo, si mtakojolewa sana hadi mshindwe kutembea... Unatoaje sare na KMC team dhaifu 😅😂😅
 
Hahahahahhahah Simba wana kadharau fulani hivi ka ki kuda. Yani nimemmind yule dogo alivyopiga mpira kizembe vile??
 
Aden Lage aliyekua mwenyekit wa Makolo ktk moja ya mkutano mkuu wa wanachama wa Makolo, aliwaita makolo ni "MAMBUMBUMBU" hivi nyie makolo na upumbav wenu huo mkikutana na Azam na mkikutana na Singida ya Mr Tozo, si mtakojolewa sana hadi mshindwe kutembea... Unatoaje sare na KMC team dhaifu 😅😂😅
Wewe unayejiita Director jana ulijificha humu JF hukuonyesha pua Yako kabisa.
 
Back
Top Bottom