ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Na hiki ndio kinachokuja kunipa mashaka, mashabiki tuna loose hope kwa timu yetu kulingana na aina ya mchezo unaochezwa leo tunashindwa ku picture katika michuano hiyi ya CAF tutaweza kweli kwa mwendo huu?
Kama nskuona vileAisee huyu Okra ni mtaalamu wa hizi kazi za free kick yani pale ni Mungu tuu kawaonea huruma kcmc
Kabisa yaniTrust Me simba Haichezi Hivi Kwasababu Jmosi Ana Mechi Malawi. Anacheza Hivi kwasababu Ya Wachezaji alio Nao… hatutengenezi Movie za Magoli, Chances zote Zimekuja Kama Bahati na sio Za Kutengenezwa.
Tumeshiriki Michuano Ya Kimata mara nyingi tuuu tukiwa na Game Ngumuuu zaidi ya Big Bullets Lakini Hatujawahi cheza hivi.
Huoni Radha Ya Kuangalia ule Mpira wa Simba
Na hiki ndio kinachokuja kunipa mashaka, mashabiki tuna loose hope kwa timu yetu kulingana na aina ya mchezo unaochezwa leo tunashindwa ku picture katika michuano hiyi ya CAF tutaweza kweli kwa mwendo huu?
Yaani yeye yupo kazini, hayo ya kupeana mkono walishapeana kabla match kuanzaKama hapa kamfumua mtu hajali na kadi ya njano kapaewa
Nyie kino tu anawatesa sisi Azam tutawqpiga kama ngomaSasa huko benchi kuna,sub gani? Mbona naona kikosi kimekamilika?
Fita ni fita muraqqVita ni Vita.[emoji28]
Ni vvyema kujipa matumaini ila tusiishi kwa kukaririInatia mashaka ila naamini watabadilika huko CAF maana Simba ya kwenye ligi huwa tofauti na Simba ya kwenye CAF...
Huwajui Simba wewe mkuu tusubiri tutaonaNyie kino tu anawatesa sisi Azam tutawqpiga kama ngoma
Nipe matokeo sipo kwa runingaFita ni fita muraqq
1 Simba KMC sufuriNipe matokeo sipo kwa runinga
Moja moja huko1 Simba KMC sufuri
Nafikiri washabiki wa Simba wanaweza wasinielewe ila Thadeo Lwanga hawezi wekwa nje na kati ya Mkude au Kanoute, alikuwa anacheza deep vizuri sana saivi mabeki wanakuwa exposed MnoTrust Me simba Haichezi Hivi Kwasababu Jmosi Ana Mechi Malawi. Anacheza Hivi kwasababu Ya Wachezaji alio Nao… hatutengenezi Movie za Magoli, Chances zote Zimekuja Kama Bahati na sio Za Kutengenezwa.
Tumeshiriki Michuano Ya Kimata mara nyingi tuuu tukiwa na Game Ngumuuu zaidi ya Big Bullets Lakini Hatujawahi cheza hivi.
Huoni Radha Ya Kuangalia ule Mpira wa Simba