Ligi Kuu Bara: Simba 2-2 KMC FC - Uwanja wa Mkapa, Sept 07 2022

Na hiki ndio kinachokuja kunipa mashaka, mashabiki tuna loose hope kwa timu yetu kulingana na aina ya mchezo unaochezwa leo tunashindwa ku picture katika michuano hiyi ya CAF tutaweza kweli kwa mwendo huu?

Trust Me simba Haichezi Hivi Kwasababu Jmosi Ana Mechi Malawi. Anacheza Hivi kwasababu Ya Wachezaji alio Nao… hatutengenezi Movie za Magoli, Chances zote Zimekuja Kama Bahati na sio Za Kutengenezwa.

Tumeshiriki Michuano Ya Kimata mara nyingi tuuu tukiwa na Game Ngumuuu zaidi ya Big Bullets Lakini Hatujawahi cheza hivi.

Huoni Radha Ya Kuangalia ule Mpira wa Simba
 
Kabisa yani
 
Inatia mashaka ila naamini watabadilika huko CAF maana Simba ya kwenye ligi huwa tofauti na Simba ya kwenye CAF...
 
Ni vvyema kujipa matumaini ila tusiishi kwa kukariri

Msimu uliopita tulikuwa na dhana hiyo hiyo kuamini Yanga anaongoza ligi kwa muda tu na kwamba itafika wakati ile nafasi tutaimiliki na mwisho kombe tunachukua

Lakini msimu umeisha wakiwa unbeaten na kupigwa juu

Kuna namna Simba inafanya messup za kizembe na sijajua uongozi unashindwa vipi kufix hilo jambo ambalo sio mara moja wala mara mbili linatokea?
 
Hata Goli Letu La Kwanza ni Uwezo Binafsi Wa Moses Phiri Baada ya Counter Attack…. Lakini sio Goli Ambalo Limetengenezwa Na Wachezaji Wa Simba.

Simba Tulikuwa hata Tukitoka Sare Tunafurahia ile radha Ya Mpira.

SAHIZI SIMBA INASHINDA BADO HATUFURAHII RADHA YA MPIRA
 
Trust Me simba Haichezi Hivi Kwasababu Jmosi Ana Mechi Malawi. Anacheza Hivi kwasababu Ya Wachezaji alio Nao… hatutengenezi Movie za Magoli, Chances zote Zimekuja Kama Bahati na sio Za Kutengenezwa.

Tumeshiriki Michuano Ya Kimata mara nyingi tuuu tukiwa na Game Ngumuuu zaidi ya Big Bullets Lakini Hatujawahi cheza hivi.

Huoni Radha Ya Kuangalia ule Mpira wa Simba
Nafikiri washabiki wa Simba wanaweza wasinielewe ila Thadeo Lwanga hawezi wekwa nje na kati ya Mkude au Kanoute, alikuwa anacheza deep vizuri sana saivi mabeki wanakuwa exposed Mno
 
Back
Top Bottom