kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Njoooni njoooni Pira Biriani liko huku mpate kuuambia Moyo pole. ...!
baada Ya Lile pira La Jana Papatu Papatu.
baada Ya Lile pira La Jana Papatu Papatu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KMC wameanza ku press kulisogelea lango la SimbaTunaongoza lakini hatuchezi vizuri
Kila la kheri KMC
Utopolo mnamuohofia nini Matola...Basi utakuta mechi kama hizi kocha wetu msaidizi wa kudumu anahamasisha wachezaji wake kucheza kwa jihad mpaka unashangaa.
Bado wana furaha ya kocha mzungu kuondokqHuu uchezaji wa Simba hauna impression
NaaaamTimu yenye hadhi yake mjini Tz na nchi za watu. Kila la heri Mnyama wa Nyika
Mtaongea sana nyani wa pori la UtopoloMatola si kocha
Simba haiko sawa
Kamoja ka mapemaShari gani
sawa31'
Sakho anachezewa rough nje kidogo na box
Ni freekick