Akili ndogo huwezi kuelewa. Wewe umetaja tukio na mimi nimetaja tukio ila ulivyo kilaza unataka mimi niweke uthibitisho wakati wewe hujaweka.Niweke nini?
Wewe utakuwa na upeo mdogo!
Umiseta🤣Mnacheza kugombania Nini ,maana kombe limeshachukuliwa
Kwa hiyo mtu akiongea tofauti na mfikiliavyo, maana yake ni mwana Yanga?mzungumzie Makambo huyo dogo tuachie wenyewe
Maana yake ni bora zaidi ya kambaleDjuma Shaban ni beki ana goli nne na assist tano
Ina maana bwana kambale kumpa mkataba wenye life span ya pango la nyumba ndio kusema nabi katembea na plan B kabisa?Msimu ujao wimbo si ndo ule ule GSM anahonga marefa sio?
Kwa maana hiyo djuma ni bora kuliko kambaleTukumbuke hata kinara wa Assist Djuma Shabani ana assist nyingi kuliko kiungo mchezeshaji Larry Bwalya
Djuma shaban alicheza kaizer chiefs? Unafanyaje ulinganisho wa namna hiyo? Mazingira ya Djuma Shaban ni sawa sawa na aliyokutana nayo Kambole? Je Djuma Shaban angeweza kupata nafasi kwenye kikosi cha Kaizer Chiefs? Kuna vitu vingi vya kujiuliza zaidiKwa maana hiyo djuma ni bora kuliko kambale
Ebu tujadili ule mkataba wa fremu aliosainishwa
Yani kitu kinalia ntasi kuna lidada limoja nikiona lina type nahama uziKama vile skypes
Wahi Melembe, ni ushauri tu!Akili ndogo huwezi kuelewa. Wewe umetaja tukio na mimi nimetaja tukio ila ulivyo kilaza unataka mimi niweke uthibitisho wakati wewe hujaweka.
Yaani akili yako kiduchu inakuaminisha wote wanaopitia huu uzi wameona tukio unalolisema na hakuna aliewahi ona tukio nililolitaja mimi hivyo nithibitishe. Ukilaza ni tabu.
Aliyefunga goli la 2 la Simba anayo akili timamu?
Unafunga goli alafu unavua jezi kwa mechi ambayo haitabadilisha nafasi ya timu ni akili kweli?
Dr. GENTAMYCINE alishamuongelea Matola.
Hapa Matola atashinda mechi zote kwa magoli mengi ili aonekane anafaa.View attachment 2265905
Umebakiza mashairi ya taarabuIna maana bwana kambale kumpa mkataba wenye life span ya pango la nyumba ndio kusema nabi katembea na plan B kabisa?
Miaka miwili holi 2 lazima watu wastuke, afu huu usajili umekaa ki connection zaidi haiwezekani umteme saido mwenye uwezo halafu uje usajili kambale
Post yako niliyo reply haikuwa na attachment.Wahi Melembe, ni ushauri tu!
Umeona hiyo picha kwenye hii post no. 72 kama picha ni ya kwako!
Kabla hujafika kwa kambole,Djuma ni bora kuliko mchezaji yeyote kutoka kwenye kikosi chenu cha huko ukoloniKwa maana hiyo djuma ni bora kuliko kambale
Ebu tujadili ule mkataba wa fremu aliosainishwa
Hivi Kambole amepewa mkataba wa miezi sita tu mkuu? Yatakuwa ni yale yale ya MorisonAfu kambale asijisahau sana
Kambale mkamsainisha mkataba wa miezi sita utafikiri .kataba wa fremu ili iweje?
[emoji23]Hii mitoto ilikuwa wapi siku zote
Msimu huu huu mzunguko wa kwanza Namungo walifanya usajili gani wa maana. Nadhani umeelewa kilichotokea kwenye dimba la Majaliwa LindiHii simba isipofanya usajili wa maana, msimu ujao tutawapiga mechi zote. Sioni tena uwezekano wa sare ya kubahatisha kutoka kwao!
Imagine Yanga ikutangulie goli moja! Hivi utabadili vipi matokeo na kushinda kwa 3-1!! Yaani kwa wale mabeki na viungo makatili, ndiyo akina Kibu D wapite tu kirahisi! Big No [emoji3582]
Na mikia walikosa miaka 4 mfululizoKuna mithali husema maskini nakipata............................. Wamekosa kwa miaka mitano mfululizo tutegemee kisikia sauti ya mwata, mbwata!! Hongereni watani!!
Hivi tunavyoongea imebaki miezi mitano na siku 28Hivi Kambole amepewa mkataba wa miezi sita tu mkuu? Yatakuwa ni yale yale ya Morison
Sasa kama mna mchezaji bora mlikuwa na haja gani ya kupoteza hela kusajili garasa lililozidiwa na beki wa kulia?Kabla hujafika kwa kambole,Djuma ni bora kuliko mchezaji yeyote kutoka kwenye kikosi chenu cha huko ukoloni
Halafu pia kambole tumemleta kwasababu ya kukaa benchi tu
Kama vile makolo walivyo vunjika Moyo baada ya kujua Djuma Shabani ni bora kuliko wachezaji wenu wote pale ukoloniSasa kama mna mchezaji bora mlikuwa na haja gani ya kupoteza hela kusajili garasa lililozidiwa na beki wa kulia?
Afu mna mikwara mkaamua mlivishe na kijora kuficha sura kama suprise ya utambulisho
Wananchi wakajua kwa mbwembwe hii basi huu usajili tumeula, lakini baadaye walivyosikia ni kambale wananchi wakavunjika mioyo