Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-1 KMC FC | Uwanja wa Mkapa | Juni 19, 2022

Niweke nini?

Wewe utakuwa na upeo mdogo!
Akili ndogo huwezi kuelewa. Wewe umetaja tukio na mimi nimetaja tukio ila ulivyo kilaza unataka mimi niweke uthibitisho wakati wewe hujaweka.

Yaani akili yako kiduchu inakuaminisha wote wanaopitia huu uzi wameona tukio unalolisema na hakuna aliewahi ona tukio nililolitaja mimi hivyo nithibitishe. Ukilaza ni tabu.
 
Msimu ujao wimbo si ndo ule ule GSM anahonga marefa sio?
Ina maana bwana kambale kumpa mkataba wenye life span ya pango la nyumba ndio kusema nabi katembea na plan B kabisa?

Miaka miwili holi 2 lazima watu wastuke, afu huu usajili umekaa ki connection zaidi haiwezekani umteme saido mwenye uwezo halafu uje usajili kambale
 
Tukumbuke hata kinara wa Assist Djuma Shabani ana assist nyingi kuliko kiungo mchezeshaji Larry Bwalya
Kwa maana hiyo djuma ni bora kuliko kambale

Ebu tujadili ule mkataba wa fremu aliosainishwa
 
Djuma shaban alicheza kaizer chiefs? Unafanyaje ulinganisho wa namna hiyo? Mazingira ya Djuma Shaban ni sawa sawa na aliyokutana nayo Kambole? Je Djuma Shaban angeweza kupata nafasi kwenye kikosi cha Kaizer Chiefs? Kuna vitu vingi vya kujiuliza zaidi
 
Akili ndogo huwezi kuelewa. Wewe umetaja tukio na mimi nimetaja tukio ila ulivyo kilaza unataka mimi niweke uthibitisho wakati wewe hujaweka.

Yaani akili yako kiduchu inakuaminisha wote wanaopitia huu uzi wameona tukio unalolisema na hakuna aliewahi ona tukio nililolitaja mimi hivyo nithibitishe. Ukilaza ni tabu.
Wahi Melembe, ni ushauri tu!

Umeona hiyo picha kwenye hii post no. 72 kama picha ni ya kwako!
Aliyefunga goli la 2 la Simba anayo akili timamu?

Unafunga goli alafu unavua jezi kwa mechi ambayo haitabadilisha nafasi ya timu ni akili kweli?

Dr. GENTAMYCINE alishamuongelea Matola.

Hapa Matola atashinda mechi zote kwa magoli mengi ili aonekane anafaa.View attachment 2265905
 
Ina maana bwana kambale kumpa mkataba wenye life span ya pango la nyumba ndio kusema nabi katembea na plan B kabisa?

Miaka miwili holi 2 lazima watu wastuke, afu huu usajili umekaa ki connection zaidi haiwezekani umteme saido mwenye uwezo halafu uje usajili kambale
Umebakiza mashairi ya taarabu
 
Kwa maana hiyo djuma ni bora kuliko kambale

Ebu tujadili ule mkataba wa fremu aliosainishwa
Kabla hujafika kwa kambole,Djuma ni bora kuliko mchezaji yeyote kutoka kwenye kikosi chenu cha huko ukoloni

Halafu pia kambole tumemleta kwasababu ya kukaa benchi tu
 
Afu kambale asijisahau sana

Kambale mkamsainisha mkataba wa miezi sita utafikiri .kataba wa fremu ili iweje?
Hivi Kambole amepewa mkataba wa miezi sita tu mkuu? Yatakuwa ni yale yale ya Morison
 
Hii simba isipofanya usajili wa maana, msimu ujao tutawapiga mechi zote. Sioni tena uwezekano wa sare ya kubahatisha kutoka kwao!

Imagine Yanga ikutangulie goli moja! Hivi utabadili vipi matokeo na kushinda kwa 3-1!! Yaani kwa wale mabeki na viungo makatili, ndiyo akina Kibu D wapite tu kirahisi! Big No [emoji3582]
Msimu huu huu mzunguko wa kwanza Namungo walifanya usajili gani wa maana. Nadhani umeelewa kilichotokea kwenye dimba la Majaliwa Lindi
 
Kabla hujafika kwa kambole,Djuma ni bora kuliko mchezaji yeyote kutoka kwenye kikosi chenu cha huko ukoloni

Halafu pia kambole tumemleta kwasababu ya kukaa benchi tu
Sasa kama mna mchezaji bora mlikuwa na haja gani ya kupoteza hela kusajili garasa lililozidiwa na beki wa kulia?

Afu mna mikwara mkaamua mlivishe na kijora kuficha sura kama suprise ya utambulisho

Wananchi wakajua kwa mbwembwe hii basi huu usajili tumeula, lakini baadaye walivyosikia ni kambale wananchi wakavunjika mioyo
 
Kama vile makolo walivyo vunjika Moyo baada ya kujua Djuma Shabani ni bora kuliko wachezaji wenu wote pale ukoloni
 
Back
Top Bottom