Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
achen kelele kanuti auzwiSimba wanatakiwa wavunje mkataba wa kanoute tunahitaji watu kwelikweli pale kati, halafu wasituone cc mashabiki kama watoto wadogo,ule usajili waliouhaidi viongozi wakishindo uko wapi? Waache uhuni kama ela hamna waseme tujue....inaumiza sana kwa kweli kuiona simba inakosa shape yakiuchezaji halafu kwenye usaji hakuna linalofanyika la maana uupuzi mtupu
msimu ujao mtakua hovyo sana kuwai kutokea Duniani,mshaanza kusajili wakina Joyce,Aziza Ki,Kambare[emoji23][emoji23],,mnafeli mjue.Hell Nooo!!, Kama Msimu Huu Tuko Hivi, Tukisajili Msimu Ujao Itakuwaje Unadhani?, Pole Sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Simba mnatia huruma sana safari hii.Bob Marley kafunga goli mpira umemgonga kwenye ugoko
Pole mkuu😅hatutaki dharau hata kama tumekosa ubingwa,iyo ndoo sio kabisa yani![emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
sahivi tumesajili mpaka wachezaji wa kombe la Dunia,mambo ni [emoji95][emoji95][emoji95]Pole mkuu[emoji28]
Tatizo wakati wenzenu wanasajili,ninyi mlikuwa bize kusajili midoli[emoji23]
Anaongeza creditAliyefunga goli la 2 la Simba anayo akili timamu?
Unafunga goli alafu unavua jezi kwa mechi ambayo haina haitabadilisha nafasi ya timu ni akili kweli?
Acheni wapate Furaha mkuuAliyefunga goli la 2 la Simba anayo akili timamu?
Unafunga goli alafu unavua jezi kwa mechi ambayo haina haitabadilisha nafasi ya timu ni akili kweli?
Kwahiyo mmechukua kombe sio?Henock Goooooooooooooaaal gooal
Henock anaipatia Simba SC bao la tatu | SIMBA SC 3-1 KMC FC
Ng'ombe wa mayeleNyie ndio mnachangia umeme kukatika katika..
Mnacheza usiku mgundue nini na mnashindania nini hasa?
Kumbavu!!!Kwahiyo mmechukua kombe sio?