Sawa mkuuMkuu, tusubiri. Azam siyo Mafunzo ya Zanzibar.
Ajib na Kazimoto hawapo!!! Simba anakufa mawili kwa yaiKikosi cha Simba dhidi ya Azam FC leo...
1. Vincent Agban
2. Emery Nimuboma
3. Mohammed Tshabalala
4. Juuko Murshid
5. Novart Lufunga
6. Justise Majabvi
7. Awadh Juma
8. Jonas Mkude
9. Hamis Kiiza
10. Danny Lyanga
11. Peter Mwalyanzi
BENCHI:
Peter Manyika
Mohammed Fakhi
Hassan Ishaka
Brian Majwega
Mussa Mgosi
Raphael Kiongera
Baada ya coastal mlisema Zitaishia kwa Toto, zikaishia kwa kessy, leo naona zitaishia kwa diegoHasira zitamuangukia azam leo
Hata wakiwepo kipigo hakikwepeki. Suala ni goli ngapi tu.Ajib na Kazimoto hawapo!!! Simba anakufa mawili kwa yai
Haya....!!!Mikia leo wapigwe tu,maana hamna namna nyingine
Jipe moyo, Jeni muro
Tumekuelewa msemaji wa mkia Hajra manara"
mnachoweza ni kashfa tu
Mkuu, tusubiri. Azam siyo Mafunzo ya Zanzibar.
Mnyama keshaliwa tayari....tungoje pilau tu.
Nani mwenye kashfa hasa hapo?mla nyasi mana kuwinda hawez tena
Pamoja .. msimu huu kitaeleweka. lazima tupande ndegeLeo ni muendelezo wa mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara kati ya Wekundu wa Msimbazi Simba na Azam FC utakaopigwa katika dimba la uwanja wa Taifa. Live update zote utazipata hapa hapa jf kupitia uzi huu. tuwe pamoja kwa muda wote mwanzo mpaka mwisho wa mchezo.
Wote tu wana kashfaNani mwenye kashfa hasa hapo?
Nawaombea mlindiane heshimaAsante sana mkuu kwa kuanzisha Uzi Na natumaini utatushushia updates pamoja Na wadau wengine watakaokuwa wanaona laivu mechi.
#ubingwamsimbazi ushindi Leo lazima.......😀😀
Mnapigwa Dada mapeeemaAzam piga vipaka hivyo 2 - 1. Team Azam kwa mkopo leo...
Hahahaah asante mkuuNawaombea mlindiane heshima
Time will tell kaka Katavi kwema huko lakini home?Mnapigwa Dada mapeeema