Ligi Kuu Bara : Simba SC vs Azam FC

Ligi Kuu Bara : Simba SC vs Azam FC

Kikosi cha Simba dhidi ya Azam FC leo...
1. Vincent Agban
2. Emery Nimuboma
3. Mohammed Tshabalala
4. Juuko Murshid
5. Novart Lufunga
6. Justise Majabvi
7. Awadh Juma
8. Jonas Mkude
9. Hamis Kiiza
10. Danny Lyanga
11. Peter Mwalyanzi

BENCHI:

Peter Manyika
Mohammed Fakhi
Hassan Ishaka
Brian Majwega
Mussa Mgosi
Raphael Kiongera
Ajib na Kazimoto hawapo!!! Simba anakufa mawili kwa yai
 
Leo ni muendelezo wa mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara kati ya Wekundu wa Msimbazi Simba na Azam FC utakaopigwa katika dimba la uwanja wa Taifa. Live update zote utazipata hapa hapa jf kupitia uzi huu. tuwe pamoja kwa muda wote mwanzo mpaka mwisho wa mchezo.
Pamoja .. msimu huu kitaeleweka. lazima tupande ndege
 
Kikosi cha Azam kinachoanza.

1. Aishi Manula
2. John Bocco
3. Erasto Nyoni
4. Gadiel Michael
5. Aggrey Morris
6. David Mwantika
7. Jean Mugiraneza
8. Ramadhani Singano
9. Abubacar Salum
10. Kipre tchetche
11. Hamis Mcha
 
Asante sana mkuu kwa kuanzisha Uzi Na natumaini utatushushia updates pamoja Na wadau wengine watakaokuwa wanaona laivu mechi.

#ubingwamsimbazi ushindi Leo lazima.......😀😀
Nawaombea mlindiane heshima
 
Mliopo uwanjani au mnaotazama tupeni updates
 
Back
Top Bottom