Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Atapata tu kipindi cha piliMpaka mapumziko Diego bado hajacheka Na nyavu.....how come???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atapata tu kipindi cha piliMpaka mapumziko Diego bado hajacheka Na nyavu.....how come???
Simba sio vyura wa kununua mechi.Hakuna wakumnunua leo ili aachiwe magoli.
Una maanisha magoli yake yote amenunua...r u serious???Hakuna wakumnunua leo ili aachiwe magoli.
Yeah am seriousUna maanisha magoli yake yote amenunua...r u serious???
Simba sio vyura wa kununua mechi.
Hahahaah acha utaniYeah am serious
Bado 0-0.Mliopo uwanjani au mnaotazama tupeni updates
Dakika ya ngapi??Bado 0-0.
Kwahiyo na wao wamenunua? Au wanabebwa pia? Hujambo mkia...🙁Kanawa azam refa kabinya
Mpira umefuata mkonoKanawa azam refa kabinya
Azam nawenyewe wasipoangalia sasahiv watakuwa wa mchanganiNg'ombe wa masikini hazai, hakuna kitu hapo. Wataondoka wote vichwa chini. Ni kukosa tu magoli ya wazi, hakuna magoli leo. Yanga pekee ndio huweza huu mchezo...
WAMAJARUBAN bado tu hawajafungwaNg'ombe wa masikini hazai, hakuna kitu hapo. Wataondoka wote vichwa chini. Ni kukosa tu magoli ya wazi, hakuna magoli leo. Yanga pekee ndio huweza huu mchezo...
Siamini kabisa simba sports tunashindwa kuwafunga hawa lamba lamba mpaka dakika hizi.....