Ligi Kuu Bara : Simba SC vs Azam FC

Ligi Kuu Bara : Simba SC vs Azam FC

kwa hisani ya Malinzi na TFF
Mtabakia hivyohivyo siye Yanga yetu yanatuendea. Bila kusahau ubingwa tunachukua. Nilishawaambia hapa kama kubebwa ni rahisi, mbebwe nanyinyi.
Hata leo mngefungwa na Azam, mngesema wamenunua mechi.

So tumewazoea, kelele za vyura hizo. Siye tuna raha tu, haya anzeni migogoro na viongozi wenu, maana ndio mnachojua.

#teamyangaforever#
 
Wanabaki au wanabakishwa kileleni na Malinziiiiiii....
Mnamchafua tu Malinzi wa watu, hivi vifaa tulivyosajili msimu huu, halafu tusitwae ubingwa kweli?
Mnawavunja moyo wachezaji wetu, wanajituma sana uwanjani. Makosa madogo madogo kwenye mechi, hayawezi kosekana.

Wanaochezesha nao ni binadamu. Ni kuboresha hayo makosa, yasitokee tena. Ila paka sc mna mambo, kwahiyo mlivyokuwa mnachukua ubigwa ilikuwa ni kwa hisani ya nani? Mtuambie vizuri, huenda ndio mchezo wenu.
Mjue kutofautisha wachezaji wa Yanga na wakimbia riadha uwanjani wa matopeni.

#teamyangaforever#
 
Asante sana mkuu kwa kuanzisha Uzi Na natumaini utatushushia updates pamoja Na wadau wengine watakaokuwa wanaona laivu mechi.

#ubingwamsimbazi ushindi Leo lazima.......😀😀
Unasemaje wewe? Ubingwa wapi?
 
Yaani game ilikuwa kama wamefanya maongezi vile ile ari ya ushindi timu zote mbili sikuiona.Wacha tuendelee kuchanja mbuga.

Kuna matukio ambayo ingekuwa Yanga tayari wangekuwa wanaimba kelele zao lakini kati yao wameona poa tu.
 
Mnamchafua tu Malinzi wa watu, hivi vifaa tulivyosajili msimu huu, halafu tusitwae ubingwa kweli?
Mnawavunja moyo wachezaji wetu, wanajituma sana uwanjani. Makosa madogo madogo kwenye mechi, hayawezi kosekana.

Wanaochezesha nao ni binadamu. Ni kuboresha hayo makosa, yasitokee tena. Ila paka sc mna mambo, kwahiyo mlivyokuwa mnachukua ubigwa ilikuwa ni kwa hisani ya nani? Mtuambie vizuri, huenda ndio mchezo wenu.
Mjue kutofautisha wachezaji wa Yanga na wakimbia riadha uwanjani wa matopeni.

#teamyangaforever#
Rage aliwaita mbumbumbu. Hans Pope kawaita wapumbavu. Hao ni viongozi wao wenyewe.

Hivi mikia, wana sub za kueleweka? Yanga ukitoa kitu, kinaingia kitu kingine chenye kiwango.

Wanajifanya hawaoni. Edo kila wakati analieleza hilo kwenye uchambuzi. Sio siri, Mbumbumbu watasubiri miaka mitano ijayo.
 
Back
Top Bottom