Siamini kabisa simba sports tunashindwa kuwafunga hawa lamba lamba mpaka dakika hizi.....
Ila mm nawaombea bila bia ili msimpopoe mawe Hans chuchu popeSiamini kabisa simba sports tunashindwa kuwafunga hawa lamba lamba mpaka dakika hizi.....
Mpira umeisha Mkuu matokeo 0-0.Dakika ya ngapi??
kwa hisani ya Malinzi na TFFYanga tunabaki kileleni kama kawa kama dawa.
#teamyangaforever#
Yanga tunabaki kileleni kama kawa kama dawa.
#teamyangaforever#
Mtabakia hivyohivyo siye Yanga yetu yanatuendea. Bila kusahau ubingwa tunachukua. Nilishawaambia hapa kama kubebwa ni rahisi, mbebwe nanyinyi.kwa hisani ya Malinzi na TFF
Afadhali game imeisha kwa sare, Yanga hiyoooooooooooo mpaka ubingwa.Japo ingekuwa raha Simba kufungwa, lakini sare inaisadia Yanga kutwaa ubingwa.
Mnamchafua tu Malinzi wa watu, hivi vifaa tulivyosajili msimu huu, halafu tusitwae ubingwa kweli?Wanabaki au wanabakishwa kileleni na Malinziiiiiii....
Yaani game ilikuwa kama wamefanya maongezi vile ile ari ya ushindi timu zote mbili sikuiona.Wacha tuendelee kuchanja mbuga.Japo ingekuwa raha Simba kufungwa, lakini sare inaisadia Yanga kutwaa ubingwa.
Unasemaje wewe? Ubingwa wapi?Asante sana mkuu kwa kuanzisha Uzi Na natumaini utatushushia updates pamoja Na wadau wengine watakaokuwa wanaona laivu mechi.
#ubingwamsimbazi ushindi Leo lazima.......😀😀
Yaani game ilikuwa kama wamefanya maongezi vile ile ari ya ushindi timu zote mbili sikuiona.Wacha tuendelee kuchanja mbuga.
Rage aliwaita mbumbumbu. Hans Pope kawaita wapumbavu. Hao ni viongozi wao wenyewe.Mnamchafua tu Malinzi wa watu, hivi vifaa tulivyosajili msimu huu, halafu tusitwae ubingwa kweli?
Mnawavunja moyo wachezaji wetu, wanajituma sana uwanjani. Makosa madogo madogo kwenye mechi, hayawezi kosekana.
Wanaochezesha nao ni binadamu. Ni kuboresha hayo makosa, yasitokee tena. Ila paka sc mna mambo, kwahiyo mlivyokuwa mnachukua ubigwa ilikuwa ni kwa hisani ya nani? Mtuambie vizuri, huenda ndio mchezo wenu.
Mjue kutofautisha wachezaji wa Yanga na wakimbia riadha uwanjani wa matopeni.
#teamyangaforever#
Usisahau pia hisani ya Simba kutuwezesha pointi 6.Wanabaki au wanabakishwa kileleni na Malinziiiiiii....
Usisahau pia hisani ya Simba kutuwezesha pointi 6.