Mnamchafua tu Malinzi wa watu, hivi vifaa tulivyosajili msimu huu, halafu tusitwae ubingwa kweli?
Mnawavunja moyo wachezaji wetu, wanajituma sana uwanjani. Makosa madogo madogo kwenye mechi, hayawezi kosekana.
Wanaochezesha nao ni binadamu. Ni kuboresha hayo makosa, yasitokee tena. Ila paka sc mna mambo, kwahiyo mlivyokuwa mnachukua ubigwa ilikuwa ni kwa hisani ya nani? Mtuambie vizuri, huenda ndio mchezo wenu.
Mjue kutofautisha wachezaji wa Yanga na wakimbia riadha uwanjani wa matopeni.
#teamyangaforever#
RahaaaaaaaaaChura churani wanafuraaaaahi!!!!!
LEO SIMBA ANAKUFA 3-0
Umefurahia hiyo sale ulikuwa wap kuipinga mapema kama unajiamini?Naona uliandika hii kitu huku ukiwa bar. Ushauri wa bure usiwe unaingia JF huku ukiwa bwii.
Ova
Saiv ndo mnatoka uvunguni simba banaNaona uliandika hii kitu huku ukiwa bar. Ushauri wa bure usiwe unaingia JF huku ukiwa bwii.
Ova
simba watasubiri sana kwa yanga, hawana ela yakusajiri wachezaji hodari
Saiv ndo mnatoka uvunguni simba bana
Umeshikwa pabaya maji ni ya ray droo mnaselebuka jiachie mkuu hali mbaya saiv mnajificha chini ya uvunguHa ha ha haaaa... Kunywa maji mengi mkuu ili tungi lishuke kidogo twende sawa.
Ova
Tff ya malinzi Ni jipu kubwa tu!!!
Rage aliwaita mbumbumbu. Hans Pope kawaita wapumbavu. Hao ni viongozi wao wenyewe.
Hivi mikia, wana sub za kueleweka? Yanga ukitoa kitu, kinaingia kitu kingine chenye kiwango.
Wanajifanya hawaoni. Edo kila wakati analieleza hilo kwenye uchambuzi. Sio siri, Mbumbumbu watasubiri miaka mitano ijayo.
Mnamchafua tu Malinzi wa watu, hivi vifaa tulivyosajili msimu huu, halafu tusitwae ubingwa kweli?
Mnawavunja moyo wachezaji wetu, wanajituma sana uwanjani. Makosa madogo madogo kwenye mechi, hayawezi kosekana.
Wanaochezesha nao ni binadamu. Ni kuboresha hayo makosa, yasitokee tena. Ila paka sc mna mambo, kwahiyo mlivyokuwa mnachukua ubigwa ilikuwa ni kwa hisani ya nani? Mtuambie vizuri, huenda ndio mchezo wenu.
Mjue kutofautisha wachezaji wa Yanga na wakimbia riadha uwanjani wa matopeni.
#teamyangaforever#
Kanawa azam refa kabinya
Msimu uliopita wakati anairuhusu Simba kumchezesha mchezaji mwenye kadi 3 za njano (Abdi Banda) mbona hukuleta hayo Malalamiko!!!!!!!! Huwezi kugombea ubingwa ukiwa na wachezaji kama Akina Paul Kiongola, Hajji Ugando, Mussa Mgosi, Majwega, eti mlinzi wa kutegemewa wa timu Novart Lufunga!!!!! Utani huu.....Huyo Malinzi alishawahi kuwa Katibu Mkuu wa Yanga, hapo unategemea nini? Huyu kiumbe ni zaidi ya jipu.
Ova
Kweli kabisa Yanga wana sub za kutosha, ambao ni Jamali Malinzi na marefa wa mchezo.
Mko vizuri sana katika kitengo cha kununua marefa.
Ova
Huyo Malinzi alishawahi kuwa Katibu Mkuu wa Yanga, hapo unategemea nini? Huyu kiumbe ni zaidi ya jipu.
Ova
Shida kubwa ya hawa wenzetu hawatumii akili kufikiria chanzo cha matatizo ya timu yao, hivi kwa msimu huu bado hawajajua kuwa wana kikosi dhaifu kuliko cha Yanga kweli!!!!!???Simba wamemsajili Mzee Musa Mgosi striker tangu asajiliwe hajafunga goli halafu bado wanalalamika Yanga wananunua mechi