Ligi Kuu Bara : Simba SC vs Azam FC

Ligi Kuu Bara : Simba SC vs Azam FC

Jamani Yanga timu yangu , naona raha. Wapinzani wanawaza shida tu. wangoje msimu ujao
Siku hizi kwenye kumbi za kuonyeshea mipira hazina mvuto tena, mikia imesusa kuangalia mpira. Ila ajabu wao ndio wa kwanza kulalamika kuwa Yanga inabebwa. Sijui kwann akili zao haziwaambii na kuaaminisha kuwa timu yao ni dhaifu ili wakati wa usajili wawe makin!!!!!! Tabia hii ya mashabiki wa Simba kulalama kuwa Yanga inabebwa ndio nafasi wanayoitumia Viongoz wao kufanya usajili mbovu. Na Hans Poppe kwa kucheza na akili ya Mashabiki hao wanaolalama kuwa Yanga inabebwa jana nae kupitia vyombo vya habari akaongea hivyo hivyo ili mashabiki wa Simba waendelee kuamini kuwa Yanga haina kikosi bora kuliko cha Simba ila wanashinda mechi zao kwa kubebwa ilihali ukweli unaonekana wa utofauti wa vikosi hivi viwili kati ya kile cha YANGA na kile cha SIMBA.
Ila siku wakija kugundua hili nadhani haya malalamiko yataisha. Naamini kwa upana na ubora wa kikosi cha Yanga, wachezaji wangekuwa wanajituma ipasavyo kwa kila mechi hata kwa nusu tu ya vile walivyocheza kule Alexandria leo hii tungekuwa tayari tumeshatangazwa mabingwa wapya wa msimu huu.
Tuna Ngoma, Tambwe, Nonga, Msuva, Busungu, huku Kaseke katikati kuna Niyonzima, Kamusoko na Mbuyu WHY usiwe Bingwa!!!!!! Eti timu yako Unamtegemea Mgosi alete Mabadiliko kwenye timu huu si Utani??????? Mpira sio Taarabu kuwa kwenye jukwaa utabebwa na Jina,.

Watani jipangane kwa vitendo na sio kwa maneno.
 
Huyo Malinzi alishawahi kuwa Katibu Mkuu wa Yanga, hapo unategemea nini? Huyu kiumbe ni zaidi ya jipu.

Ova

VYEO VYA GODFREY NYANGE MAKAMU RAIS WA SIMBA NDANI YA TFF:-

1. Mjumbe wa Kamati ya Utendaji TFF
2. Mjumbe Mkutano Mkuu TFF
3. Mjumbe Bodi Inayosimamia Ligi Kuu Bara
4. Mjumbe Kamati ya Mashindano TFF

Kama Yanga inanunua mechi basi mlalamikieni Makamu Rais wenu inawezekana ndiyo Muuzaji Mkuu.
 
Hapo umempiga nyoka kichwani.
 
VYEO VYA GODFREY NYANGE MAKAMU RAIS WA SIMBA NDANI YA TFF:-

1. Mjumbe wa Kamati ya Utendaji TFF
2. Mjumbe Mkutano Mkuu TFF
3. Mjumbe Bodi Inayosimamia Ligi Kuu Bara
4. Mjumbe Kamati ya Mashindano TFF

Kama Yanga inanunua mechi basi mlalamikieni Makamu Rais wenu inawezekana ndiyo Muuzaji Mkuu.

Ina maana wewe unaamini hivyo vyeo vya Kaburu vinakipita cheo cha Malinzi pale TFF?

Ova
 
A
VYEO VYA GODFREY NYANGE MAKAMU RAIS WA SIMBA NDANI YA TFF:-

1. Mjumbe wa Kamati ya Utendaji TFF
2. Mjumbe Mkutano Mkuu TFF
3. Mjumbe Bodi Inayosimamia Ligi Kuu Bara
4. Mjumbe Kamati ya Mashindano TFF

Kama Yanga inanunua mechi basi mlalamikieni Makamu Rais wenu inawezekana ndiyo Muuzaji Mkuu.
asante Sana ujumbe umefika
 
Simba wekezeni kwa wachezaji wenye viwango, timu ni mbovu, wachezaji wenu si wazuri kama wa Yanga ukweli usemwe tu bila kumung'unya maneno.

Sema ndo hivo timu yenyewe haina hela ya kufanya usajili wa maana. Mo kataka kuinunua mmemkatalia, sasa sijui msaidiweje
 
Back
Top Bottom