Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
- Thread starter
-
- #21
Sub zao sasa!! eti anatoka Kiiza anaingia Mgosi, teh
Kama kawaidaNahisi leo watasema yanga wamewanunua Mwadui wawafunge simba, teh!
Watakwambia bado wana jenga timu.Kocha Msaidizi wa Simba anamlalamikia mwamuzi eti....Teh...
'Wa matopeni' FC
Yule Ajib kauza mechi hahahahIbrahim Ajib kalimwa red card