libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,465
- 3,615
Ni bora washuke daraja wajipange upyaKwa kweli inabidi tuwatie moyo mashabiki na wanachama wa simba ktk kipindi hiki kigumu wanachopitia. Ni kawaida ktk mpira wa miguu. Yatapita.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni bora washuke daraja wajipange upyaKwa kweli inabidi tuwatie moyo mashabiki na wanachama wa simba ktk kipindi hiki kigumu wanachopitia. Ni kawaida ktk mpira wa miguu. Yatapita.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yanga anabebwa.......! 😛😛😛😛😛😛
Naye atafungiwa kama Kessy, teh tehYule Ajib kauza mechi hahahah
BandaNaye atafungiwa kama Kessy, teh teh
Leo hapa Msimbazi kuna dalili za kuzuka MFECANE WAR.
Muache mtani wetu anapitia katika kipindi kigumu sana nitumie fursa hii kumpa pole.Katavi njoo huku mikia imekalishwa tena!!
Waaaalah leo kama ningekuwa na bunduki ningewa shoot wachezaji wote pamoja lile li Aveve sijui avivi.....ni dhahiri timu inahujumiwa.....
Pole umeandika kwa uchungu sana mzee mwenzangu wacha sie tufurahie ubingwa.Waaaalah leo kama ningekuwa na bunduki ningewa shoot wachezaji wote pamoja lile li Aveve sijui avivi.....ni dhahiri timu inahujumiwa.....
Ubingwa tayari huku vijana wakiwa wanapumzika baada ya kuipiga timu ya Angola.Hivi ndo basi tena hakuna timu ya kufikia points za Yanga?!!
Na yeye atadundwa ngumi na kipa wao labda........!😀😀😀😀😀😀😱Naye atafungiwa kama Kessy, teh teh
Safi sana Yanga!!!!Ubingwa tayari huku vijana wakiwa wanapumzika baada ya kuipiga timu ya Angola.
Mechi tatu za mwisho zitakuwa kuwapa nafasi vijana ambao hawajacheza sana kwenye ligi.
Hahaha Ajib Leo atapigwa ngumiNa yeye atadundwa ngumi na kipa wao labda........!😀😀😀😀😀😀😱