Ligi Kuu Bara: Simba SC vs Mwadui FC

Ligi Kuu Bara: Simba SC vs Mwadui FC

Waaaalah leo kama ningekuwa na bunduki ningewa shoot wachezaji wote pamoja lile li Aveve sijui avivi.....ni dhahiri timu inahujumiwa.....
 
MMGL0700.jpg
Hongera Yanga SC na wanachama wenzangu wote kwa kutwaa Ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania
 
Hivi ndo basi tena hakuna timu ya kufikia points za Yanga?!!
 
Sipati picha huko Mbumbumbu FC hali ikoje
 
Back
Top Bottom