Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Tanzania itakuwa kimya kwa muda wa dakika 90 , mnamo tar 8 march.

Live updates zote zitakuwa humu ndani.

Majadiliano, uchambuzi, na mengineyo.

Jiachie...! Usisahau ku_subscribe.

10433841_487950871344206_2731706910014970495_n.jpg

FULL TIME:
Simba 1
-
0 Yanga Afrika

Ligi Kuu Tanzania Bara

Uwanja wa Taifa
 
Kuna tija ya kuwapa moyo na kuwaweka katika hali ya kisaikologia Mashabiki MBUMBUMBU wa simba...! hatutaki kuona watu wakianza kuzimia uwanjani...!

Maana mashabiki mbumbumbu hawachelewi kuzumia wanapokutana na YANGA FC.
 
Wazee wa bonanza wapi....?
 
Tangia umfunge Leicester (wa Bongo) goli tano , basi unafikiri utamfunga Yanga FC ...!
 
Kuna tija ya kuwapa moyo na kuwaweka katika hali ya kisaikologia Mashabiki MBUMBUMBU wa simba...! hatutaki kuona watu wakianza kuzimia uwanjani...!

Maana mashabiki mbumbumbu hawachelewi kuzumia wanapokutana na YANGA FC.

5-0.nadhani mjadala nishaufunga. Haya fungua uzi mwingine sasa
 
Back
Top Bottom