barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Simba wazee wa historia kama wapiga ramli!
Ni wazee wa historia hujakosea, 2025 tutaongea historia kuwa 8.3.2015 Yanga alikula 3-0 TENA kweupEeeee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba wazee wa historia kama wapiga ramli!
Historia ingekuwa inaharalisha ushindi Azam FC asingechukua kombe msimu uliopita. Hawa jamaa wanajifariji tu, after all mara ya mwisho kumfunga Yanga kwenye ligi ilikuwa lini?
Swali hili wakijibu ndo tutajua kama kweli Yanga ni wateja wao ama la
Hamjawai kumfunga yanga kwenye ligi kwa muda misimu mitatu.....!
Jibu wewe, mi nijuacho nyie ni wake zetu, tunapiga tukitaka!! Mkidroo, heko!
Na nyie mara ya mwisho kuifunga simba ni lini?
Ni wazee wa historia hujakosea, 2025 tutaongea historia kuwa 8.3.2015 Yanga alikula 3-0 TENA kweupEeeee.
MgonjwaUkimwi,
Hapa ndugu yangu umenizidi kete! Looh sijawahi sikia hii (signature):- Mwendawazimu ni binadamu mwenye Uhuru bila Nidhamu, na Mtumwa ni binadamu mwenye Nidhamu bila Uhuru. Nimesoma mara mbili mbili nakila mara hujikuta nacheka mwenyewe maanake kweli imetanda kwa kila sura ya shilingi hii... inauma tu pale utakapo jaribu kufanya mahesabu kupata hitimisho yaani Mtumwa ni sawa kabisa na mwendawazimu, japokuwa wametofautiana chanzo....Wee mkali!
simba wanapiga kelele kwa kuwa wapo na mganga wao znz kambini
Na mimi ninasema ,mpinzani wangu kwenye ligi ya vpl no Azam fc pekee.
Ninyi nawafananisha na jkt ruvu.
Hao wateja wetu hawanipi shida hata kidogo, nimebaki nawaonea huruma tu hiyo jumapili.
Hamjawai kumfunga yanga kwenye ligi kwa muda misimu mitatu.....!
Nyie mikia ndiyo maana mwenyekiti wenu aliwaita Mbumbumbu naanza kuamini.
Mnashabikia msichokijua, mkiwaulizwa mnabwabwaja tu, kwa nini msiitwe mbumbumbu.
Kwa jinsi unavyoongea ni kama vile umeanza kuishabikia yanga mwaka huu hata hujui walipopigwa 5 bila Yanga wangapi walizimia uwanjani, na wengine Moro na Mwanza kufa kabisaaa. Uliza kwa wenzako wangapi mlizimia pale mnyama aliposawazisha zile bao 3 za timu dhaifu ya yeboyebo, ulizia kwenye mechi mliyopigwa 3-1 yanga wangapi waliaga dunia ama kuzima injini za bajaji wimi nzima, hapo hatujaongelea kipigo mlichokipata disemba 2-0 mpaka wadau wakashauri yanga wote wapimwe afya zao migogoro kabla yakuingia kiwanjani.
Historia ingekuwa inaharalisha ushindi Azam FC asingechukua kombe msimu uliopita. Hawa jamaa wanajifariji tu, after all mara ya mwisho kumfunga Yanga kwenye ligi ilikuwa lini?
Swali hili wakijibu ndo tutajua kama kweli Yanga ni wateja wao ama la
Mambumbumbu ni nyinyi mnaoiparamia TFF jwa hoja zisizo na mashiko kila siku mnaangukia pua. Kijana mdogo Ibrahim Ajib amewatoa knock out kisheria.
Hukumbuki kuwa mlikula 2-0 mwaka 2013.Na nyie mara ya mwisho kuifunga simba ni lini?