grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,816
Mkuu. Hao mikia tuwaache kama walivyo. Sijui huu ni mwaka wa ngapi hawashiriki mashindano ya CAF. Raha yao ni kumfunga Yanga kwenye mechi za Bonanza. Huu sasa mwaka wa tatu ni sare au kufungwa na Yanga kwenye VPL. Watakuja na kawimbo kao ka 5-0 as if historia ya timu hizi inaanzia na kuishia hapo. Wako very selective kwenye historia. Yanga ni timu kubwa (bingwa wa kihistoria wa Tanganyika/Tanzania). Wanahitaji labda karne moja kuifikia rekodi ya Yanga ukizingatia kuna akina Azam siku hizi. Kwa maana hiyo mtazamo wetu lazima uwe wa kuangalia the bigger picture kama kuchukua ubingwa. Kwa Alex Furgeson ilikuwa bora afungwe na Liverpool lakini achukue EPL kuliko kumfunga Liverpool wakose ubingwa. Ndio mentality ya timu kubwa.
Acha umbumbumbu wewe, miaka mitatu labda kama unahesabu kambale mnaovua pale jangwani. Yanga alifungwa bao 5 kwa sifuri April 2012, toka hapo yanga ameshinda sana mbele ya mnyama ni sare au kuchapwa bao 3 -1, 2-0 tu. Piga hesabu kama miaka 3 imeshapita toka april mwaka 2012,
Naomba leo niwabatize Yanga jina zuri la kisomi la Division 5 ya Mulugo.