Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Kabisa mkuu wanajuta kufika leo!!wanatamani leo ingekua jana na jana ingekua juzi na leo isingefika…!!walifikiri leo ni mbali sana!
Kumekuchaaaaaa!! Leo ndo siku ya mwindaji mwenye njaa kutoka Jangwani atakapokuwa anakula nyama ya mnyama simba kiulani pale taifa mbele ya umati wa watu.
Kila la kheir yanga afrika. Simba 0-3 Yanga.
 
Leo watautafuta mlango wa kutokea. Naona mtoa roho akitoa roho uwanjani, majukwaani na mitaani.
 
Mikia nyie mna kazi kweli leo tutakachofanya nikuwaonyesha njia ya kuelekea ligi za mchangani!!
 
Timu za italy hazina viwanja binafsi,unavichukia? Na kama simba na yanga havina uwanja havichezi mpira? Wew ni shabiki wa mpira au shabiki wa viwanja? Ka shabiki wa viwanja basi shabikia ccm na serikali ndo wenye viwanja vingi bongo[/QUOTE

Kumfananisha Mzungu na Mswahili kufilisika kimwili.....kama mpo sawa na waitaly nanyi muwasajili akina Torres
 
Naona vibonde wetu wanajipa moyo, sisi kama kawaida hatuchezi mpira JF au kwenye meseji za wakina Sued Mwinyi, Simba yeye anakula mtu hadharani tena bila kunawa mikono kama mwezi Disemba 2014, 2013, May 2012.
Wanasimba twendeni tukamuage Pluijim, nasikia familia yake ameshaitanguliza stendi.
 
simba sport club hao toka jmane wanaloga

Kuloga ni a psychological warfare thing! Wapinzani wako wakiamini kuwa wamelogwa imekula kwao, na kwa timu husika kama wataamini kuwaloga wenzao kumewapa moyo zaidi ya kujituma, vizuri!
Hamna kitu kiloga, na kwa jinsi nionavyo, wenye akili nyepesi kama yanga wameshavurugwa kipsychologia, wamepata kisingizio, watadai tulifungwa sababu walituloga!
KULOGA = PLACEBO EFFECT.
Yanga anaukalia tena kama kawaida, kweupeeee, naona 3-1, Okwi na Hajib wakifanya yao huku Singano akiisumbua ngome ya Yanga huku Ndemla na Mkude wakifanya yao. Leo ndo siku Yanga inapoteza matumaini ya ubingwa, baada ya kipigo cha leo, watavurugika sana maana wana akili fupi kama piriton. Watachanganyikiwa, wakija shtuka, Azam kabeba au mnyama keshapita!
 
Tangu lini simba akawa mfalme...hujui historia ya timu ya simba ya sasa ngoja nikukumbushe

wakati inaanza ilianzia jina la queen ambalo tafsiri yake ni malkia ikaja. sandalend na badae simba sasa huo simba kuitwa mfalme ilikuwa mwaka gani
 
muda si mrefu barabara kuingia national stadium kutokea keko itafungwa hapo karibia na chang'ombe demonstration secondary . hivyo watumiaji wa barabara hiyo watafute another alternative. hali ni shwari. tunasubiri game. let the best team win.
 
[/QUOTE]

Kumfananisha Mzungu na Mswahili kufilisika kimwili.....kama mpo sawa na waitaly nanyi muwasajili akina Torres[/QUOTE]
Ww unamatatizo ya kifamilia,cc tunazungumzia mechi,ww unaleta habari ya viwanja...kafi.rwe huko
 
Mikia nyie mna kazi kweli leo tutakachofanya nikuwaonyesha njia ya kuelekea ligi za mchangani!!
Tutaona .. na kwa jinsi mlivyo washamba leo sababu ya kumfukuza kocha wa yanga itapatikana
 
Back
Top Bottom