demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
- Thread starter
- #61
Jumapili ni kesho acha tusubili nini kitatokea,
na kwa kujiamini kwa yanga watu watatu wameomba ban kama yanga itafungwa lakini upande wa pili sijamuona hata mmoja ndo mjue kuwa ni jinsi gani hamjiamini.
Hata Mimi nahitaji ban...! Tens mkumbusheni Moderator.
Asipo nipa Ban..najipa mimi mwenyewe.