Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi sio Leicester....!0mbeni mechi nyingine na wajelajela muone kama mtawapiga hata 2.
Kama unaamini hivyo rudieni mechi na Mbeya city muone kama mtatoka salama, maana yule kipa Burhani mliyemuhonga pesa mkamsababishia kijana wa watu kufungiwa hayupo.
Daima mbele, nyuma mwiko!
Yanga timu funga mikia hao.
Hata nyinyi mlinunua mechi na wajelajela ili kikao chenu kiende vizuri.
Kuna tija ya kuwapa moyo na kuwaweka katika hali ya kisaikologia Mashabiki MBUMBUMBU wa simba...! hatutaki kuona watu wakianza kuzimia uwanjani...!
Maana mashabiki mbumbumbu hawachelewi kuzumia wanapokutana na YANGA FC.
Simba wazee wa historia kama wapiga ramli!Simba na historia za kina babu, watakuambia walimfunga yanga goli 6-0 na pia walimfunga goli 5-0.
Kwa wadau na wafuatiliaji wazuri wa mpira hili halitupi tabu kwani hata tukiwauliza goli 6 zilifungwa lini mtasema miaka ile Azam FC na Mbeya City hatuwafaham. Tukutane jumapili wakati na baada ya dk 90 tutakuwa na chakuandika chenye ukweli zaidi.
Tanzania itakuwa kimya kwa muda wa dakika 90 , mnamo tar 8 march.
Live updates zote zitakuwa humu ndani.
Majadiliano, uchambuzi, na mengineyo...
Jiachie...!usisahau ku_subscribe.
Sinaga fleva na soka la bongo kwa sababu linachezwa kwenye magazeti na mitandao. Yaani hata Makhirikhiri wanatafuna ndala. Haya ndala ''yanga'' asubirini safari yenu ya Africa itaishia Zimbabwe nexti wiki.
DemiGod usipoteze muda kubishana nae watakapopigwa 2 kavu atapotea mwenyewe jukwaani yanga timu piga mikia goli 2:0 warudi msimbazi wakampige kaburu!!!
Kuna tija ya kuwapa moyo na kuwaweka katika hali ya kisaikologia Mashabiki MBUMBUMBU wa simba...! hatutaki kuona watu wakianza kuzimia uwanjani...!
Maana mashabiki mbumbumbu hawachelewi kuzumia wanapokutana na YANGA FC.
Tangia umfunge Leicester (wa Bongo) goli tano , basi unafikiri utamfunga Yanga FC ...!
Simba wazee wa historia kama wapiga ramli!