Kuna tija ya kuwapa moyo na kuwaweka katika hali ya kisaikologia Mashabiki MBUMBUMBU wa simba...! hatutaki kuona watu wakianza kuzimia uwanjani...!
Maana mashabiki mbumbumbu hawachelewi kuzumia wanapokutana na YANGA FC.
Alafu wewe ulikuwa mmoja wapo wa waliozumia...!
Mimi natafuta ubingwa were unatafuta kumfunga yanga...!
Ndio maana mnaitwa mashabiki mbumbumbu.
Tangia umfunge Leicester (wa Bongo) goli tano , basi unafikiri utamfunga Yanga FC ...!
Sisi sio Leicester....!0mbeni mechi nyingine na wajelajela muone kama mtawapiga hata 2.