Ilikuwa raha nyakati zile....walikuwepo kina mzee Tabu Mangara..Boi Wickens..Muchacho...Aluu Alliy....Shaban Baraza..Sembuli...Omar Hussein..Kitwana Manara Sunday Manara...Kilambo ilikiwa hakuna kuvuka daraja kutoka yanga kwenda simba au vise vesa.
Kuna haja ya Simba leo kushinda ili kuendelea kupunguza superiority ya Yanga:
- Katika mechi zaidi ya 100 zilizokutana, Yanga imeshinda 43 na Simba 36, zilizobaki sare
- Yanga imefunga magoli 8 zaidi ya Simba
- Yanga mabingwa Tanzania mara 24 na Simba mara 18
Naiombea Simba ishinde leo...na lazima itashinda tu kwa sababu ina motivation kubwa ya kupunguza gap ya superiority ya watani wao..
Simba XI : Ivo Mapunda, Kessy Ramadhan, Mohamed Hussein, Hassan Isihska, Juuko Murshid, Abdi Banda, Ramadhan Singano, Jonas Mkude, Ibrahim Ajib, Said Ndemla, Emmanuel Okwi,
Yanga XI: Ally Mustapha, Oscar Joshua, Nadir Haroub, kelvin Yondani, Mbuyu Twite, Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Amissi Tambwe, Mrisho Ngassa, Danny Mrwanda, Said Juma,