Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Dakika ya 6 simba wanaonana vizuri kuliko yanga
 
Dakika ya 8 Msuva anatumia vibaya nafasi anayoipata.
 
Simba tupo vizuri zaidi leo kuliko yeboyebo
 
Huyu mtangazaji wa TBC ni sheeedah,inaonesha kwamba yanga hawapo uwanjani kabisaaaaa!!!
 
Dakika ya 15 faulo kwenda yanga Okwi anakosea.
 
Kama kawaida TBC1 Wanazi wa Mnyama wamejaa wakiongozwa Na Enock Bwigane
 
Back
Top Bottom