Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Msuvaaaa,,,,,,,,anakosea pale beki wa simba wanaokoa
 
Dakika ya 22 Said Juma anapata kadi ya njano baada ya kucheza rafu.
 
Kessy na Mrwanda wanapata kadi ya njano.
 
Golikipa wa yanga yupo pale anatibiwa baada ya kugongwa na Ramadhani Singano.
 
Back
Top Bottom