Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Huyu refa anataka kutuondoa katika mchezo kwa ajili ya kuwabeba mikia.
 
Refa anaipendelea simba wazi wazi. Kashahongwa na Dewji
 
Yanga wanakosa goli la wazi kabisa hapa.....dk. 37
 
kipindi cha kwanza njano, kipindi cha pili nyekundu
 
Hili taulo mbona linawapa presha sana yanga??
 
tuwekeeni taarifa kamili.......
mfano...inaandikwa mtu amepatiwa kadi ya njano, inatakiwa iandikwe amefanya nini na kwa mazingira gani? ndo uchambuzi huo.
 
tuwekeeni taarifa kamili.......
mfano...inaandikwa mtu amepatiwa kadi ya njano, inatakiwa iandikwe amefanya nini na kwa mazingira gani? ndo uchambuzi huo.

Okay tumekupata mkuu
 
Back
Top Bottom