Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Hizi timu zimekamiana hadi radha ya mpira inapotea.
inapoteza ladha kwelikweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi timu zimekamiana hadi radha ya mpira inapotea.
matokeo wadau
mkolaj bora useme refarii kimeo lakini usiseme anaibeba Simba.....Ukiwa fair utakubaliana nami Mrwanda alipaswa kuwa nje kwa red-card....Huyu refarii kimeo kweli huyu, anaibeba mikia wazi wazi.
matokeo wadau
Hata hivyo nashangaa taulo lote lile la nini??
Refa anaipendelea simba wazi wazi. Kashahongwa na Dewji
Mkuu ilo taulo lkiruhusiwa,wengine watakuja na sabun na ndoo, uwanja utageuka bafuni.
Martin Sanya kimeoooooooo
Huyu refarii hata kuchezesha ndondo haifa, Kessy kapiga mtu ngwala halafu anatizama tu!! mtu kapigwa kipepsi bila kuwapo mpira halafu bado unatoa njano!?mkolaj bora useme refarii kimeo lakini usiseme anaibeba Simba.....Ukiwa fair utakubaliana nami Mrwanda alipaswa kuwa nje kwa red-card....
Kwa mara ya kwanza leo nimeona umeongea kitu cha maana.Pia tumekua 1 side.
Sijawahi ona refa mzembe kama huyu, mtu ana kadi ya njano, anakusukuma alafu unamuacha? Haroub hakutakiwa kuwapo!
Kipindi cha pili ushindi kwa yanga ni lazima japo refa ameshindwa kumudu mchezo.