Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mimi naongeaga pumba tu, nifah bana
Acha hizo wewe, tulia uangalie mpira.
Mkuu mara nyingi unaongea pumba...ndio maana ukitema point tunashangaa....
Huyu refarii ningekuwa nakaa nae mtaa mmoja leo angeisoma namba pumbavu huyu......Anaharibu umakini wa wachezaji kwa kadi zake anazotoa kama vile kapewa maelezo na wakubwa waliompa hiyo kazi leo.
Simba XI : Ivo Mapunda, Kessy Ramadhan, Mohamed Hussein, Hassan Isihska, Juuko Murshid, Abdi Banda, Ramadhan Singano, Jonas Mkude, Ibrahim Ajib, Said Ndemla, Emmanuel Okwi,
nitajie pumba hata moja niliyowahi kuongea
Huyu refarii hata kuchezesha ndondo haifa, Kessy kapiga mtu ngwala halafu anatizama tu!! mtu kapigwa kipepsi bila kuwapo mpira halafu bado unatoa njano!?
Kipindi cha pili ushindi kwa yanga ni lazima japo refa ameshindwa kumudu mchezo.
Kwa hiyo mimi naongeaga pumba tu, nifah bana
Kipindi cha pili refa abadilishwe, huyu wa sasa ameshindwa kumudu pambano
Kweli kabisa refa kashindwa kumudu mchezo, yanga ilibidi wawe pungufu mpaka sasa!
Kuna wadau muhimu kwa timu zote mbili katika jukwaa hili siwaoni KULIKONiiiiiiiiiiiii.
Kipindi cha pili refa abadilishwe, huyu wa sasa ameshindwa kumudu pambano