Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ninyonzima anapewa kadi ya njano baada ya kumchezea rafu Singano, ni nje kidogo ya 18.
 
Huyu refarii kimeo kweli huyu, anaibeba mikia wazi wazi.
 
Sijawahi ona refa mzembe kama huyu, mtu ana kadi ya njano, anakusukuma alafu unamuacha? Haroub hakutakiwa kuwapo!
 
Faulo inapigwa na Okwi dakika ya 44 lakini inatoka nje kidogo ya goli.
 
Mkuu ilo taulo lkiruhusiwa,wengine watakuja na sabun na ndoo, uwanja utageuka bafuni.

Tatizo ni nyie mna imani za kishirikina! Kama taulo, kila mechi Mapunda anakuwaga nalo na Simba bado inafungwaga! Acheni uchawi na imani potofu!
 
Abdi Banda anapewa kadi ya njano baada ya kucheza rafu.
 
Hivi huyu refa hizo kadi ni fashion kwake?
 
Hizi timu zimekamiana hadi radha ya mpira inapotea.
 
Tatizo ni nyie mna imani za kishirikina! Kama taulo, kila mechi Mapunda anakuwaga nalo na Simba bado inafungwaga! Acheni uchawi na imani potofu!

Hata hivyo nashangaa taulo lote lile la nini??
 
Siamini naangalia mechi Kubwaa Tanzania inayokutanisha timu Kubwa, pinzani na kongwe Tanzania
 
Back
Top Bottom