Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

msaada jamani kwa yeyote anayeweza kunipa link ya game ya leo.kuna mtu yupo nje ya nchi anataka kuicheki live online
 
Ilikuwa raha nyakati zile....walikuwepo kina mzee Tabu Mangara..Boi Wickens..Muchacho...Aluu Alliy....Shaban Baraza..Sembuli...Omar Hussein..Kitwana Manara Sunday Manara...Kilambo ilikiwa hakuna kuvuka daraja kutoka yanga kwenda simba au vise vesa.
 
Mbumbumbu FC wanakelele kama wamefungiwa mashine midomoni
 
10433841_487950871344206_2731706910014970495_n.jpg

Simba vs Yanga Afrika


Ligi Kuu Tanzania Bara


Uwanja wa Taifa


Saa 10 Jioni


Matangazo: Azam Two, kwenye Kiingamuzi cha Azam TV na TBC Taifa​
 
Kuna haja ya Simba leo kushinda ili kuendelea kupunguza superiority ya Yanga:

- Katika mechi zaidi ya 100 zilizokutana, Yanga imeshinda 43 na Simba 36, zilizobaki sare
- Yanga imefunga magoli 8 zaidi ya Simba
- Yanga mabingwa Tanzania mara 24 na Simba mara 18

Naiombea Simba ishinde leo...na lazima itashinda tu kwa sababu ina motivation kubwa ya kupunguza gap ya superiority ya watani wao..
 
Hayaaaaaa kumekucha sasa kelele zote Leo ndio Leo nani mtemi.mm nasema hiv Leo lazima yanga avuliwe chupi taifa.stay tuned
 
Simba XI : Ivo Mapunda, Kessy Ramadhan, Mohamed Hussein, Hassan Isihska, Juuko Murshid, Abdi Banda, Ramadhan Singano, Jonas Mkude, Ibrahim Ajib, Said Ndemla, Emmanuel Okwi,
 
Yanga XI: Ally Mustapha, Oscar Joshua, Nadir Haroub, kelvin Yondani, Mbuyu Twite, Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Amissi Tambwe, Mrisho Ngassa, Danny Mrwanda, Said Juma,
 
We are all Young Africans, if you're not you are doomed....yanga ni moto ulao simba mtakiona cha mtemakuni....
 
Back
Top Bottom