Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Tambwe yupo pale chini alifanyiwa madhambi.
Dakika ya 48.
 
Marefa wetu ni wabovu sana
 
tupeni matokeo acheni kusozana humu kama kila mtu anamuona huyo refa !
 
Kule siasani....kwa sasa wacha tuangalie simba itakavyofungwa

Au sio bwana? Laki si pesa anavunga kama si yeye vile.Leo anaongea points hadi naogopa!
 
Canavaro kaonyeshwa kadi ya njano ila mwandishi kachemka, kaonyesha Yondan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…