Hawa ndo marefa wa kibongo.
Bado dk chache mpira umalizike, ili wenye kufa wafe zaidi. Kocha wa Simba amemuita Okwi anamwambia pitia kwa Yondani maana ana kadi ya njano mtafutie kadi ya pili atoke nje naye.
Kocha wa yanga aanze kufunga mizigo..safar imewadia
Simba refa anawabeba sana mpaka aibu
huyu refa naye vipi, hiyo kadi nyekundu kwa niyonzima siyo kabisa, mtu yuko kwenye motion kabisa!!!
dr ya ngapi wakuu, nina mgonjwa hapa dripu inaisha haamki