Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Bado dk chache mpira umalizike, ili wenye kufa wafe zaidi. Kocha wa Simba amemuita Okwi anamwambia pitia kwa Yondani maana ana kadi ya njano mtafutie kadi ya pili atoke nje naye.

hahahahahaaa apitie kwa mwanasimba mwenzake
 
dr ya ngapi wakuu, nina mgonjwa hapa dripu inaisha haamki
 
Ndio hawa mnasema profesheno players?mhhhh kama ndiyo hvyo basi tuna safari ndefu sana
 
Tutafika tu mwaka huu pamoja na kuwa pungufu bado tuna nafasi kubwa ya kurudisha hilo goli.
 
Okwiiiiiiiiiiiiiiiiii daah imepita milimita moja nje
 
Dah, Okwi leo anachungulia kwa mbali kisha anapima! Safi sana, dah, Yanga koswa koswa tena!
 
huyu refa naye vipi, hiyo kadi nyekundu kwa niyonzima siyo kabisa, mtu yuko kwenye motion kabisa!!!

Mimi ndio maana mpira wa kibongo hua naupotezea tu sometimes, bado sana kiukweli. Wenzetu wanategemea ufundi sisi ni fitna tu.
 
Back
Top Bottom