palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
Safi mkuu kwema??
Mbumbumbu FC wanakelele kama wamefungiwa mashine midomoni
Unapotoa ufafanuzu tupe na dakika please

Mimi ndio maana mpira wa kibongo hua naupotezea tu sometimes, bado sana kiukweli. Wenzetu wanategemea ufundi sisi ni fitna tu.

Mpira bado haujaisha?
tulia kwanza dozi ikuingie ukipona ndio uanze kuupotezeaMimi ndio maana mpira wa kibongo hua naupotezea tu sometimes, bado sana kiukweli. Wenzetu wanategemea ufundi sisi ni fitna tu.
Red ya Haruna Kama ya Persie Barcelona na Arsenal....ni ujinga ukijua uko na Yellow Card