Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Red ya Haruna Kama ya Persie Barcelona na Arsenal....ni ujinga ukijua uko na Yellow Card
 
kiukweli sitamani tena kushangilia Yanga manake hii too much
Mimi ndio maana mpira wa kibongo hua naupotezea tu sometimes, bado sana kiukweli. Wenzetu wanategemea ufundi sisi ni fitna tu.
 
Barthez ana kazi kwelikweli baada ya mechi
 
Mimi ndio maana mpira wa kibongo hua naupotezea tu sometimes, bado sana kiukweli. Wenzetu wanategemea ufundi sisi ni fitna tu.

Acha mahaba, kwani kadi za njano mbili za kihalali tafsiri yake ni nini? Na canavaro ana bahati kuwa uwanjani mpaka sasa bila kusahau mrwanda kwa retaliation, pamoja ya kwamba katoka! Hapa muitafute droo watani!
 
Mimi ndio maana mpira wa kibongo hua naupotezea tu sometimes, bado sana kiukweli. Wenzetu wanategemea ufundi sisi ni fitna tu.
tulia kwanza dozi ikuingie ukipona ndio uanze kuupotezea
 
Back
Top Bottom