Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Samahani kwa hiyo waliofungwa ni CCM!!??
 
Reactions: 999
Kutoka kwa reporter aliyekuwa uwanja wa Taifa.

Reporter Uwanja wa Taifa said:
Simba wanamaliza mpira kwa kupiga pasi zaidi ya 28 bila ya kupoteza hadi mwamuzi Martin Saanya alipomaliza mpira
 

Kama sio kubebwa na refa simba leo mngeangukia pua, mshukuruni sana refa kawabeba vya kutosha
 
Last edited by a moderator:
Kwanini Bartez, kwanini Okwi, kwanini makosa ya kizembe kwa yanga (simba vs yanga) huwa yanafanywa na wachezaji ambao walishawahi kuchezea simba mfano; Juma Kaseja,Ali Muhstafa(Bartez) n.k (just curiosity)
 

Mkuu Cynic nawatania Mgongo wazi kwamba hata leo ilikuwa mechi ya Bonanza sio ligi . Simba huwa hatuwafungi Kandambili kwenye ligi wanavyodai wao.At least mgongo wazi watatulia sasa.
 
yanga Mpira hahawezi timu yao waibadili iwe hata kwaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…