Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Kutoka kwa reporter aliyekuwa uwanja wa Taifa.

Reporter Uwanja wa Taifa said:
Simba wanamaliza mpira kwa kupiga pasi zaidi ya 28 bila ya kupoteza hadi mwamuzi Martin Saanya alipomaliza mpira
 
laki si pesa unajisikiaje shemejiiiiii... simba hawezi kuhangaika na yanga hata siku moja. huyu ni mke wake wa zama na zama.... wala hana haja ya kudanganyia simu wala nini anampigia simu anamwita anakuja anampakata anamruhusu aende zake .... simba hata angefungwa na timu zote bado yanga ni mbovu sana. haalfu angalien huyu manji. alisema angerudisha zile 5- 0 siku zinaenda tu. sisi simba hatuna hiyana na ninyi hata mktaka wachezaji wetu wote tunawapa kama kawaida we umewahi ona simba inahangaika sana na wachezaji wa yanga? hamna. leo mmepona ilikuwa tuwapige viwili tu ... but imekuwa bahati mbaya kwetu. ila msijali yanga yetu sisi tunawajua si ndiyo? Bantu lady na Makoye mmepotelea wapi na sharo bao maana si balo tena. sisi tutawagonga tu ninyi mkileta jeuri tunasema msifanye hivi mkafanya tutawagonga tu, nami nasem mtagongwa.

Kama sio kubebwa na refa simba leo mngeangukia pua, mshukuruni sana refa kawabeba vya kutosha
 
Last edited by a moderator:
Kwanini Bartez, kwanini Okwi, kwanini makosa ya kizembe kwa yanga (simba vs yanga) huwa yanafanywa na wachezaji ambao walishawahi kuchezea simba mfano; Juma Kaseja,Ali Muhstafa(Bartez) n.k (just curiosity)
 
No! Simba wana makombe mawili so far ya kitaifa, ni kama vile walishachukua League na FA (TFF) Cup ya Tanzania (Kombe la Mtani Jembe = League Cup ...kama lile walilochukua Chealsea last week; na Kombe la Mapinduzi = FA Cup ambayo Arsenal & Man U wanaligombania kesho)

Mkuu Cynic nawatania Mgongo wazi kwamba hata leo ilikuwa mechi ya Bonanza sio ligi . Simba huwa hatuwafungi Kandambili kwenye ligi wanavyodai wao.At least mgongo wazi watatulia sasa.
 
yanga Mpira hahawezi timu yao waibadili iwe hata kwaya
 
Back
Top Bottom