Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kwanini Bartez, kwanini Okwi, kwanini makosa ya kizembe kwa yanga (simba vs yanga) huwa yanafanywa na wachezaji ambao walishawahi kuchezea simba mfano; Juma Kaseja,Ali Muhstafa(Bartez) n.k (just curiosity)

Kuna wakati Cannavaro alipigwa chenga akamuuliza mwenzake eti Messi kapita wapi....chezea Mashine kubwa Messi. Hahahahaaaaaa
Naomba kuuliza hivi simba kwa kuifunga yanga inaweza kubeba kombe la ligi au inagombania nafasi ya tatu?
laki si pesa unajisikiaje shemejiiiiii... simba hawezi kuhangaika na yanga hata siku moja. huyu ni mke wake wa zama na zama.... wala hana haja ya kudanganyia simu wala nini anampigia simu anamwita anakuja anampakata anamruhusu aende zake .... simba hata angefungwa na timu zote bado yanga ni mbovu sana. haalfu angalien huyu manji. alisema angerudisha zile 5- 0 siku zinaenda tu. sisi simba hatuna hiyana na ninyi hata mktaka wachezaji wetu wote tunawapa kama kawaida we umewahi ona simba inahangaika sana na wachezaji wa yanga? hamna. leo mmepona ilikuwa tuwapige viwili tu ... but imekuwa bahati mbaya kwetu. ila msijali yanga yetu sisi tunawajua si ndiyo? Bantu lady na Makoye mmepotelea wapi na sharo bao maana si balo tena. sisi tutawagonga tu ninyi mkileta jeuri tunasema msifanye hivi mkafanya tutawagonga tu, nami nasem mtagongwa.
Naomba kuuliza hivi simba kwa kuifunga yanga inaweza kubeba kombe la ligi au inagombania nafasi ya tatu?
Naomba kuuliza hivi simba kwa kuifunga yanga inaweza kubeba kombe la ligi au inagombania nafasi ya tatu?
Mkuu naona mkeka wa shaffih Dauda umechanika kwani yeye katabiri
Simba 2 1 Yanga.
Jaman tuache utan, hv bao LA okwi lingekuwa la kitandan kweli demu angemwacha kweli? Si kila siku angekuwa anamwambia bebi Leo tena basi