laki si pesa unajisikiaje shemejiiiiii... simba hawezi kuhangaika na yanga hata siku moja. huyu ni mke wake wa zama na zama.... wala hana haja ya kudanganyia simu wala nini anampigia simu anamwita anakuja anampakata anamruhusu aende zake .... simba hata angefungwa na timu zote bado yanga ni mbovu sana. haalfu angalien huyu manji. alisema angerudisha zile 5- 0 siku zinaenda tu. sisi simba hatuna hiyana na ninyi hata mktaka wachezaji wetu wote tunawapa kama kawaida we umewahi ona simba inahangaika sana na wachezaji wa yanga? hamna. leo mmepona ilikuwa tuwapige viwili tu ... but imekuwa bahati mbaya kwetu. ila msijali yanga yetu sisi tunawajua si ndiyo?
Bantu lady na
Makoye mmepotelea wapi na
sharo bao maana si balo tena. sisi tutawagonga tu ninyi mkileta jeuri tunasema msifanye hivi mkafanya tutawagonga tu, nami nasem mtagongwa.