Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

kaka kumbe nawe umeona maana mwamuzi kaona sasa simba wanafanya sifa... we inakuaje mnapiga pasi 28 mech kali kama hii? mwamuzi kaona isiwe nongwa aheri tu amalize mpira maana ingekuwa balaa... hawa simba mi nimewapenda bure kabisa...
 
Inauma Sana kuona kila tunapocheza na simba,tunafungwa Magoli ya kijinga!
Goli la leo kipa haileweki alikuwa anaenda wapi!?
 
Kwanini Bartez, kwanini Okwi, kwanini makosa ya kizembe kwa yanga (simba vs yanga) huwa yanafanywa na wachezaji ambao walishawahi kuchezea simba mfano; Juma Kaseja,Ali Muhstafa(Bartez) n.k (just curiosity)

Umemsahau Danny Mrwanda.
 
Naomba kuuliza hivi simba kwa kuifunga yanga inaweza kubeba kombe la ligi au inagombania nafasi ya tatu?
 
Kwanini Bartez, kwanini Okwi, kwanini makosa ya kizembe kwa yanga (simba vs yanga) huwa yanafanywa na wachezaji ambao walishawahi kuchezea simba mfano; Juma Kaseja,Ali Muhstafa(Bartez) n.k (just curiosity)

Mbona haujiulizi kwa nini Okwi alipokuwaga Yanga alitufunga goli la kufutia machozi kwenu?
Kama mna wasiwasi nao, kwa nini mnawapanga? Goli la Okwi ni kweli waweza mlaumu Barthez, ila ni vitu ambavyo kipa hatarajii, makipa wengi wa bongo wasingeweza tarajia Okwi kupiga ktk eneo lile.
 
laki si pesa unajisikiaje shemejiiiiii... simba hawezi kuhangaika na yanga hata siku moja. huyu ni mke wake wa zama na zama.... wala hana haja ya kudanganyia simu wala nini anampigia simu anamwita anakuja anampakata anamruhusu aende zake .... simba hata angefungwa na timu zote bado yanga ni mbovu sana. haalfu angalien huyu manji. alisema angerudisha zile 5- 0 siku zinaenda tu. sisi simba hatuna hiyana na ninyi hata mktaka wachezaji wetu wote tunawapa kama kawaida we umewahi ona simba inahangaika sana na wachezaji wa yanga? hamna. leo mmepona ilikuwa tuwapige viwili tu ... but imekuwa bahati mbaya kwetu. ila msijali yanga yetu sisi tunawajua si ndiyo? Bantu lady na Makoye mmepotelea wapi na sharo bao maana si balo tena. sisi tutawagonga tu ninyi mkileta jeuri tunasema msifanye hivi mkafanya tutawagonga tu, nami nasem mtagongwa.

Mie nipo, angalia jibu kwa Masuke hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
Naomba kuuliza hivi simba kwa kuifunga yanga inaweza kubeba kombe la ligi au inagombania nafasi ya tatu?

Kumpakata mtani aka NDALA ni raha sana! Irrespective ya kushika nafasi ya ngapi?
 
Naomba kuuliza hivi simba kwa kuifunga yanga inaweza kubeba kombe la ligi au inagombania nafasi ya tatu?

jibu la swali lako utalipata ligi ikiisha.
 
Makoye Matale pole ndugu yngu umesema ulikuwa katavi mbugani.. hujamwona Simba huko? ha ha ha... mi nachopenda huwa wewe ni mjuaji wa mpira acha wale waliokunywa maji ya bendera ambao hawakubali simba au yanga kufungwa watatfuta visingizio. ila sasa inabdi yanga mkae mjitathmini kwa nini simba hata awe amechoka vipi anaumwa vipi hashindwi kutafuna mifupa ya yanga? na mtindo wenu wa kuchukuachukua wachezaji wa simba si mzuri pia wanasema hivyo kuwa nayo inawagharimu sana mnapokutana na mnyama. kifupi huwa yanga mnafungwa kabla hata ya mechi na ndo maana wachezaji wenu wanaingia wana hasira uwanjani na kufanya mambo ya kijinga.
 
Nilipata kizunguzungu kufuatilia pasi 28 bila kupoteza hadi mwamuzi akamaliza mpira. Kwa kweli nimefurahi kwani mpenzi hatongozwi unashika mkono tu basi. Tumezoea viwili mpaka 6 lakini kimoja pia kina utamu wake. Nasikia wamekata rufaa tumemchezesha Ajibu.
 
attachment.php
 
Back
Top Bottom