Inauma Sana kuona kila tunapocheza na simba,tunafungwa Magoli ya kijinga!
Goli la leo kipa haileweki alikuwa anaenda wapi!?
Kama mnacheza vizuri mbona mlikuwa mnalalamika kwamba Aveva na wenzake ndio wanahujumu timu.
Kama mnacheza vizuri mbona SARE SARE zilikuwa nyingi.!!!
Mnakaririshwa vibaya, next time lazima tuwabutue vibaya hadi mharibikiwe.
Wanafukuza point 5 mkuu na wana mechi moja mbele
Mshalaaniwa tayari....so hakuna haja ya Baraka.!
mashabiki wa yanga leo wamewahi kulala sana jangwani kimyaaaaaa.
Na wenye timu nzuri wasemeje... Kwamba wanaongoza ligi kwa bahati mbaya!????
Yanga kuifunga simba hadi Katiba Mpya
Tuna timu nzuri kuliko yoyote hapa Tz, na timu bado changa, sio kama Simba veteran (Tambwe, Mrwanda, Yondani, Barthez), ni kwamba uongozi tuu mbovu!
NOTE: Uliona zile dk 3 za mwisho? Mlikuwa mnautafuta kwa tochi mpaka betri zikawaishia!
Ila lile taulo nafikiri lina kitu, bila ya lile taulo Yanga wangeweza shinda! Hii mnaionaje wana Yanga?? Nimewatafutia sababu ya kujitetea!
Tena sio hii pendekezwa.
Daah ile aibuuuu...ule muziki wa Simba CD bilioni utadhani walikuwa mazoezini wallah. Lazima niitafute CD ya leo kwa ukumbusho wa vizazi vijavyo samba la Mnyama unyamani
Hivi kwa nini tusiwe tunacheza na Yanga tuu mechi zote?