Abeid Apple
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 263
- 78
Na hao wachezaji wenu wa Simba veterans au wengine?Vijana wanazidi kukomaa vipigo mpaka mtamchoka Kanjibhai. Kwa umri wa wachezaji wa Simba mtapelekeshwa sana.
Na wenye timu nzuri wasemeje... Kwamba wanaongoza ligi kwa bahati mbaya!????
Tuna timu nzuri kuliko yoyote hapa Tz, na timu bado changa, sio kama Simba veteran (Tambwe, Mrwanda, Yondani, Barthez), ni kwamba uongozi tuu mbovu!
NOTE: Uliona zile dk 3 za mwisho? Mlikuwa mnautafuta kwa tochi mpaka betri zikawaishia!
tuache ushabiki, simba wanajua kucheza soka la kuvutia!! Poleni yanga siku zote timu inayocheza vizuri ndo inayoshinda.
Sasa atacheza nani? Maana alianza yeye kipindi kile Yanga waliongoza magoli matatu kipindi cha kwanza, kipindi cha pili yote yakarudi, Mustafa akaondolewa. Mtani jembe ya 2013 akaja Kaseja naye alipofungwa magoli matatu akaondolewa, akaaminiwa Munishi naye ilipofika mtani jembe 2014 akala yake mawili imani naye ikapotea na kuja kwa Mustafa tena, leo naye kale lake moja.
Kwani Mapunda ana umri gani jamani?
Jamani Hebu fikirieni mbali kidogo....
Mtakuwa wasindikizaji ktk ligi mpaka lini....?
Maana nyie kama arsenal ya uingereza.. Ina ukame wa Makombe.
View attachment 233045
Maumivu yakizid muone daktari.
Mwaka upi mlichukua ubingwa...?
View attachment 233045
Maumivu yakizid muone daktari.
View attachment 233045
Maumivu yakizid muone daktari.