Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Na hao wachezaji wenu wa Simba veterans au wengine?Vijana wanazidi kukomaa vipigo mpaka mtamchoka Kanjibhai. Kwa umri wa wachezaji wa Simba mtapelekeshwa sana.

Kwani Mapunda ana umri gani jamani?
 
Na wenye timu nzuri wasemeje... Kwamba wanaongoza ligi kwa bahati mbaya!????

Kwa kweli yeboyebo mmejitahidi kutoka kufungwa goli 5 bila kama Prisons mpaka sasa hivi Simba inawafunga bao 1 tu ni hatua kubwa sana na ya kupongezwa.
 
Tuna timu nzuri kuliko yoyote hapa Tz, na timu bado changa, sio kama Simba veteran (Tambwe, Mrwanda, Yondani, Barthez), ni kwamba uongozi tuu mbovu!
NOTE: Uliona zile dk 3 za mwisho? Mlikuwa mnautafuta kwa tochi mpaka betri zikawaishia!

Na ndio maana mna miaka lukuki bila hata harufu ya ubingwa.
Mnajivunia damu changa, hamjui kuwa mpira umebadilika siku hizi. Muulizeni Arsene Wenger na watoto wake washule alichukua kombe gani, siku hizi ndo kashituka kawasogeza Ozil na Sanchez.
 
tuache ushabiki, simba wanajua kucheza soka la kuvutia!! Poleni yanga siku zote timu inayocheza vizuri ndo inayoshinda.

Kwa hapa tz hakuna mwenye soka kama lile, vijana wanachezea mpira dk 4 za nyongeza kama wameununua wao. Mammmaeeee waladeeee waaladeeee
 
Sasa atacheza nani? Maana alianza yeye kipindi kile Yanga waliongoza magoli matatu kipindi cha kwanza, kipindi cha pili yote yakarudi, Mustafa akaondolewa. Mtani jembe ya 2013 akaja Kaseja naye alipofungwa magoli matatu akaondolewa, akaaminiwa Munishi naye ilipofika mtani jembe 2014 akala yake mawili imani naye ikapotea na kuja kwa Mustafa tena, leo naye kale lake moja.

ndo mama bartez kalia sana,anajua bench linakuja
 
Jamani Hebu fikirieni mbali kidogo....

Mtakuwa wasindikizaji ktk ligi mpaka lini....?

Maana nyie kama arsenal ya uingereza.. Ina ukame wa Makombe.
 
Kwani Mapunda ana umri gani jamani?

Mapunda yupo Manyika Peter, Shariff Cassilias.Nyie hao wazee waliobakia watacheza misimu mingapi? Na katika kudhihirisha kwamba kwa vijana pia hamtuwezi Simba B 4 Yanga B 2.Hii ni pambano lililotangulia harusi yetu.
 
Mwaka upi mlichukua ubingwa...?
 
1425848129613.jpg
Maumivu yakizid muone daktari.
 
Jamani Hebu fikirieni mbali kidogo....

Mtakuwa wasindikizaji ktk ligi mpaka lini....?

Maana nyie kama arsenal ya uingereza.. Ina ukame wa Makombe.

Nyie na sisi nani kaongeza kikombe hivi karibuni ktk kabati?
 
Back
Top Bottom