Inapendeza kuona mnashiriki Ligi ili kumfunga Yanga...!
Haya Bhana, ubingwa wenu mshachukua... Tuachieni sisi tikanyanyue ndoo.!
tuache ushabiki, simba wanajua kucheza soka la kuvutia!! Poleni yanga siku zote timu inayocheza vizuri ndo inayoshinda.
Nyie mbumbumbu kweli mmesema Yanga timu ya wazee, nikawauliza Mapunda gage inasomaje. Mmenibadilikia tena ama kweli wageni wa ushindi utawajua tu.
Man of the match alikuwa Mapunda, mapinduzi cup alipangua penati kadhaa, hivyo jibu lipo wazi kabisa kuhusu ubora wake, makipa huongezeka ubora umri unaposogea, ila kwa Tz naona ni makipa wa simba tuu ndio wanaongezeka ubora!!
Nimechukua ndoo mara 3 tangu wewe uchukue mara ya mwisho....!
Na ndio maana mna miaka lukuki bila hata harufu ya ubingwa.
Mnajivunia damu changa, hamjui kuwa mpira umebadilika siku hizi. Muulizeni Arsene Wenger na watoto wake washule alichukua kombe gani, siku hizi ndo kashituka kawasogeza Ozil na Sanchez.
Akitaka radha ya 5 aamie mcmbaz, team co kabila.
Amavubi endelea kushusha upako huo, huku tunateremshia na bia za bariiidi. Nyama huku tumekula zote jikoni tumemaliza Wadau tunataka tuhame kiwanja.
Mamamaeeeee leo lazima tuwasaidie majogoo kazi ya kuwaamsha yeboyebo, haiwezekani walale mapema halafu wachelewe kuamka, waje tuwakomelee vingine viwili tena.
Au tuombe mechi irudiwe nini, kuifunga yeboyebo kunasaidia mji kuwa katika hali ya usafi kama wakati wa Obama.
Muhudumuuuu...huyo aliyevaa nguo za Yanga..eeh huyohuyo njooo hapa kaa mapajani nikuagize.
Kanjubhai alidai anataka kurudisha tano! Atasubiri sana, angeachia tu ngazi, maana nionavyo, hii simba ya watoto ikikomaa sana na uongozi ukitulia, mkono mwingine hauko mbali!
Wewe kweli mbumbumbu uliyevurugwa na bao la mtu mzima Okwi.
Nimekutajia Oliver Khan makusudi ili uone uhusiano uliopo kati ya umri wa kipa unavyoongezeka na Ubora wake pia. Sijakutajia mchezaji tofauti na namba anayochezea Ivo Mapunda nikiwa na maana thabiti ambayo wewe kwa umbumbumbu wako hukuibaini.
Tukirudi ndani ya dimba ni mchezaji gani wa Simba mwenye umri kama wa Ivo Mapunda? Kama hukuti kijiji cha wazee cha yeboyebo mf. Mrwanda, Kelvin yondani, Barthez, Twite, Cannavaro....
Mkuu anajitakia mwenyewe, ye haoni wenzie ngozi nyeupe waliko? wanakula bata tuu wakichekelea soka saffiiii. Kaburu, dewji, h poppe, kleb etc. Ahamie tu aje apate radha ya 5 Msimbazi co kule bondeni.
Mwaka jana Wenger kachukua FA Cup, mwaka huu Simba kachukua Kombe la Mapinduzi. Na msipokua makini hapo kileleni, mwezi May tunaweza ongea mengine.
Japo Simba tumeshinda ila tumempoteza shabiki wetu mmoja,ni mtu naemfahamu na ni doctor kwa wale wanaoishi Magomeni Makanya kuna ka-hospital kapo hapa Popobawa ndipo aliakifanyia shughuli zake,wakati wa tukio sikuwa nae habari nimezipata kutoka kwa watu waliokuwa karibu,goli lilipofungwa alinyanyuka kushangilia but hakurudi kukaa akaishia kuanguka.nimesikitika sana hata raha ya ushindi imenitoka.rip dk Masako.
Hahaha.. Mkuu huyo muhudumu akitoka kwako, mwambie apite hapa meza ya jirani nina mazungumzo nae.
Afe na mwingine!!!kufeni tuuuuu!!!!
Hivi striker matata sana toka liberia kpah sherman alikuwepo kweli leo?
Nyie inabidi mhesabu miaka ya kutosha kurudi kwenye soccer la ushindani. Azam ndo atakuwa mshindani wa kweli nyie mtabaki kuwa watani tu.
Nyie inabidi mhesabu miaka ya kutosha kurudi kwenye soccer la ushindani. Azam ndo atakuwa mshindani wa kweli nyie mtabaki kuwa watani tu.