Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Inapendeza kuona mnashiriki Ligi ili kumfunga Yanga...!

Haya Bhana, ubingwa wenu mshachukua... Tuachieni sisi tikanyanyue ndoo.!

Una faida gani ule ubingwa, ambao unashiriki mwaka mzima na ukshnda unapewa milioni 80?

NB: Milioni 80 ndo gharama tulizotumia unguja kumuandaa mnyama ili aje amtafune mwali ndala.
 
tuache ushabiki, simba wanajua kucheza soka la kuvutia!! Poleni yanga siku zote timu inayocheza vizuri ndo inayoshinda.

Hongera nyingi zimfikie Prof. Goran Kopunovic kwa kutuletea soka la Barcelona katka ukanda huu wa Afrika Mashariki na kati.
 
Nyie mbumbumbu kweli mmesema Yanga timu ya wazee, nikawauliza Mapunda gage inasomaje. Mmenibadilikia tena ama kweli wageni wa ushindi utawajua tu.

Wewe kweli mbumbumbu uliyevurugwa na bao la mtu mzima Okwi.
Nimekutajia Oliver Khan makusudi ili uone uhusiano uliopo kati ya umri wa kipa unavyoongezeka na Ubora wake pia. Sijakutajia mchezaji tofauti na namba anayochezea Ivo Mapunda nikiwa na maana thabiti ambayo wewe kwa umbumbumbu wako hukuibaini.

Tukirudi ndani ya dimba ni mchezaji gani wa Simba mwenye umri kama wa Ivo Mapunda? Kama hukuti kijiji cha wazee cha yeboyebo mf. Mrwanda, Kelvin yondani, Barthez, Twite, Cannavaro....
 
Man of the match alikuwa Mapunda, mapinduzi cup alipangua penati kadhaa, hivyo jibu lipo wazi kabisa kuhusu ubora wake, makipa huongezeka ubora umri unaposogea, ila kwa Tz naona ni makipa wa simba tuu ndio wanaongezeka ubora!!

Hahahahaaaaaaaa...Mkuu hilo neno zito kama goli la Okwi.
 
Na ndio maana mna miaka lukuki bila hata harufu ya ubingwa.
Mnajivunia damu changa, hamjui kuwa mpira umebadilika siku hizi. Muulizeni Arsene Wenger na watoto wake washule alichukua kombe gani, siku hizi ndo kashituka kawasogeza Ozil na Sanchez.

Mwaka jana Wenger kachukua FA Cup, mwaka huu Simba kachukua Kombe la Mapinduzi. Na msipokua makini hapo kileleni, mwezi May tunaweza ongea mengine.
 
Amavubi endelea kushusha upako huo, huku tunateremshia na bia za bariiidi. Nyama huku tumekula zote jikoni tumemaliza Wadau tunataka tuhame kiwanja.
Mamamaeeeee leo lazima tuwasaidie majogoo kazi ya kuwaamsha yeboyebo, haiwezekani walale mapema halafu wachelewe kuamka, waje tuwakomelee vingine viwili tena.

Au tuombe mechi irudiwe nini, kuifunga yeboyebo kunasaidia mji kuwa katika hali ya usafi kama wakati wa Obama.

Muhudumuuuu...huyo aliyevaa nguo za Yanga..eeh huyohuyo njooo hapa kaa mapajani nikuagize.

Hahaha.. Mkuu huyo muhudumu akitoka kwako, mwambie apite hapa meza ya jirani nina mazungumzo nae.
 
Last edited by a moderator:
Kanjubhai alidai anataka kurudisha tano! Atasubiri sana, angeachia tu ngazi, maana nionavyo, hii simba ya watoto ikikomaa sana na uongozi ukitulia, mkono mwingine hauko mbali!

Ile kombinenga ya vile vibwana mdogo imekuwa tamu kama Mcharo. Zanzibar tulitoroshewa mke wetu na lile riafande kutoka JKU leo tumempata raha mpaka ndani ya roho. Bado mbunye yake haijatumika sana toka nilipoitumia mwezi disemba mwaka jana.
 
Wewe kweli mbumbumbu uliyevurugwa na bao la mtu mzima Okwi.
Nimekutajia Oliver Khan makusudi ili uone uhusiano uliopo kati ya umri wa kipa unavyoongezeka na Ubora wake pia. Sijakutajia mchezaji tofauti na namba anayochezea Ivo Mapunda nikiwa na maana thabiti ambayo wewe kwa umbumbumbu wako hukuibaini.

Tukirudi ndani ya dimba ni mchezaji gani wa Simba mwenye umri kama wa Ivo Mapunda? Kama hukuti kijiji cha wazee cha yeboyebo mf. Mrwanda, Kelvin yondani, Barthez, Twite, Cannavaro....

We kweli mbumbumbu au kunauwezekano unaangalia mechi ya Yanga na simba tu.
Kwa msaada tu wakati AC Milan wanachukua UCL 2007 walikuwa watu wa kazi watu wazima. Wakati Man U wanachukua UCL 2008 walikuwepo watu wazima wa kutosha. Hata Brazil iliyochukua kombe la Dunia 2002 watu wazima ndo ilikuwa chachu ya ushindi ukimtoa Gaucho. 2006 kina Canavaro wakabeba World Cup wakiwapiga watu wazima Ufaransa. We uko Dunia gani usiyeyajua haya?
 
Mkuu anajitakia mwenyewe, ye haoni wenzie ngozi nyeupe waliko? wanakula bata tuu wakichekelea soka saffiiii. Kaburu, dewji, h poppe, kleb etc. Ahamie tu aje apate radha ya 5 Msimbazi co kule bondeni.

Hivi Bin kleb amefia wapi jamani?
 
Mwaka jana Wenger kachukua FA Cup, mwaka huu Simba kachukua Kombe la Mapinduzi. Na msipokua makini hapo kileleni, mwezi May tunaweza ongea mengine.

Nyie inabidi mhesabu miaka ya kutosha kurudi kwenye soccer la ushindani. Azam ndo atakuwa mshindani wa kweli nyie mtabaki kuwa watani tu.
 
Hivi striker matata sana toka liberia kpah sherman alikuwepo kweli leo?
 
Japo Simba tumeshinda ila tumempoteza shabiki wetu mmoja,ni mtu naemfahamu na ni doctor kwa wale wanaoishi Magomeni Makanya kuna ka-hospital kapo hapa Popobawa ndipo aliakifanyia shughuli zake,wakati wa tukio sikuwa nae habari nimezipata kutoka kwa watu waliokuwa karibu,goli lilipofungwa alinyanyuka kushangilia but hakurudi kukaa akaishia kuanguka.nimesikitika sana hata raha ya ushindi imenitoka.rip dk Masako.

Afe na mwingine!!!kufeni tuuuuu!!!!
 
Hahaha.. Mkuu huyo muhudumu akitoka kwako, mwambie apite hapa meza ya jirani nina mazungumzo nae.

Demu mwenyewe anaonekana ananyege kali ngoja nimdidimize kimoja kama cha nguvu kama cha Okwi hapa hapa nikuachie.
 
Nyie inabidi mhesabu miaka ya kutosha kurudi kwenye soccer la ushindani. Azam ndo atakuwa mshindani wa kweli nyie mtabaki kuwa watani tu.

Tumempa kitu tumechukua point 3 wakati huo huo Azam kashinda jana pengo la point walilojitapa limebakia moja tu.
Ukichanganya na ile kadi nyekundu ya niyonzima na majeruhi ya mdogo wake maximo lazima wapoteane tu mbele ya safari kama mwaka juzi.

Raha sana unampiga mtu kitu halafu unamuachia na maumivu endelevu na mechi inayofuatia. Ningefurahi zaidi kama ingekuwa straight red likose mechi 3 kabisa ---- lile.
 
Nyie inabidi mhesabu miaka ya kutosha kurudi kwenye soccer la ushindani. Azam ndo atakuwa mshindani wa kweli nyie mtabaki kuwa watani tu.

Huoni aibu wenzako wote wamekukimbia humu wamekuacha peke yako, utapigwa mtungo humu kwa mabao ya nguvu kama ya Kabaka Mutesa 'The World Classic Tomentor' Emmmmmanueeeeeeeel Oooookwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Back
Top Bottom