Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Kummmmmaaammmaaaaeeeee mlichonga sana kabla ya mechi hiii. Dk 90 zimekwisha refa bado anawabeba yeboyebo ili wapate sare kama kawaida yao.
 
Mashabiki wanaanza kuondoka uwanjani wa yanga

Yaani katika michezo mitano tuliyokutana na hawa jamaa ni kuwapiga na au draw. Jerry Muro alisema Simba si lolote si chochote na wasichukue kiki kupitia kwao. Leo naamini. Katepeta mbaya nyooooo Jerry Muro!
 
Refa ametumika kuharibu mechi kabisa kabisa.

too much.jpg
Puliiiiizzzz..........
 
Yanga wanatafuta mpira kwa tochi jamani huku. Wanapiga pasi kuanzia mbele mpaka nyuma na kwenda mbele tena.
Mpiraaaaaaa umekwishaaaaaaaaa
 
Jahazi limezama, poleni sana mito NGANU, na wanayanga wenzangu wote.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom