Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Nilikiwa nyuma kabsa nikisali maana yanga wangeshinda ningesarifi bila kupenda walivyokuwa wananisumbua kabla ya mechi cn hama
 
Kummmmmaaammmaaaaeeeee mlichonga sana kabla ya mechi hiii. Dk 90 zimekwisha refa bado anawabeba yeboyebo ili wapate sare kama kawaida yao.

Pointi tatu kwa simba

Yaani katika michezo mitano tuliyokutana na hawa jamaa ni kuwapiga na au draw. Jerry Muro alisema Simba si lolote si chochote na wasichukue kiki kupitia kwao. Leo naamini. Katepeta mbaya nyooooo Jerry Muro!
si mbaya leo ilikuwaikuwa siku ya wanawake..
 
Mnyamaaaaaaaaaaaa...kila la heri kwenye kuchapana fito jangwani msitoane macho tu.
 
Jahazi limezama, poleni sana mito NGANU, na wanayanga wenzangu wote.

Ndo hivo, ni kujipanga tu mechi zijazo
Batez anajisikia vibaya sana, lakini kiukweli lile goli si la kumlaumu, kipa yeyote angeweza kufungwa, okwi alitumia akili sana kupiga ule mpira
 
salamu zangu za dhati zimfikie mpenzi wangu Bantu lady akiwa huko aliko.... ujumbe wangu siku zote ni " angurumapo simba mcheza nani" kama kawaida yanga tunaendelea kumpakata....
 
Last edited by a moderator:
mbona nyinyi mmeshindwa kutumia hizo fitna kama kweli zipo?mpira uwanjani,mbwembwe kibao kabla ya game matokeo yake mmepigwa kipara mara nyingine tena,au hili nalo ni bonanza?

Simba wamebebwa na refa
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Poleni sana wanaNdaLa wote humu Jf na Tanzania nzima kwa kushindwa kujinasua na ndoa mliofunga na mume wenu simba
 
Back
Top Bottom