Mrs Kharusy
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 1,244
- 671
Refa amewabeba simba kuanzia dakika ya kwanza mpaka ya mwisho, simba walikuwa wako kumi na mbili uwanjani pamoja na refa
13....na mashabiki...pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refa amewabeba simba kuanzia dakika ya kwanza mpaka ya mwisho, simba walikuwa wako kumi na mbili uwanjani pamoja na refa
Jamaa mito hua yuko strong sana sijui leo kawaje.Anyways ndio tumeshazipoteza points 3 muhimu.
yeboyebo lazima mpakatwe
Leo sabato mkuuMakoye Matale, umekula ban nini, mbona huonekani?
Ngoja nimwite Makoye Matale
hahahaha...yanga kwa kuongea tu hawajambo
Leo sabato mkuu
Kummmmmaaammmaaaaeeeee mlichonga sana kabla ya mechi hiii. Dk 90 zimekwisha refa bado anawabeba yeboyebo ili wapate sare kama kawaida yao.
Refa amewabeba simba kuanzia dakika ya kwanza mpaka ya mwisho, simba walikuwa wako kumi na mbili uwanjani pamoja na refa
Mnyamaaaaaaaaaaaa...kila la heri kwenye kuchapana fito jangwani msitoane macho tu.
nadhani mtasharekea vizuri sikukuu yenu!
kamoja 2 kama nguruwee